Shehe wa Mkoa wa DSM ( BAKWATA ) Musa Salum ni Shehe wa Milele?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,607
218,023
Kwanza niwatakie Baraka za Idd El Fitri waislam wote duniani na hasa waislam wa hapa JF.

Kingine ni kuomba kufahamishwa kama swali langu linavyouliza, huyu Musa Salum mbona miaka yote ni yeye tu anayetajwa kuwa Shehe wa Mkoa wa DSM, hakuna wengine? Je alichaguliwa na Waislam au aliteuliwa tu?

Msingi wa swali hili ni kutaka kujua tu wala si kitu kingine.

Naomba kuwasilisha
 
Kwanza niwatakie Baraka za Idd El Fitri waislam wote duniani , na hasa waislam wa hapa JF .

Kingine ni kuomba kufahamishwa kama swali langu linavyouliza , huyu Musa Salum mbona miaka yote ni yeye tu anayetajwa kuwa Shehe wa Mkoa wa DSM , hakuna wengine ? Je alichaguliwa na Waislam au aliteuliwa tu ?

Msingi wa swali hili ni kutaka kujua tu wala si kitu kingine .

Naomba kuwasilisha .
Ungeanzia kwa Pengo!
 
kwa hiyo ulitaka uwe wewe? achana na mambo hayo.
 
Kwanza niwatakie Baraka za Idd El Fitri waislam wote duniani , na hasa waislam wa hapa JF .

Kingine ni kuomba kufahamishwa kama swali langu linavyouliza , huyu Musa Salum mbona miaka yote ni yeye tu anayetajwa kuwa Shehe wa Mkoa wa DSM , hakuna wengine ? Je alichaguliwa na Waislam au aliteuliwa tu ?

Msingi wa swali hili ni kutaka kujua tu wala si kitu kingine .

Naomba kuwasilisha .
Huko Chadema hakuna mwingine, mbona miaka yote ni Mbowe tu ?
 
Nenda BAKWATA kawashawishi wabadili katiba.
Sheikh wa mkuu wa Taifa,mkoa na wilaya huingia kwa uchaguzi na huondoka kwenye kiti kwa kifo,kujiuzulu au kuasi kiti chake kama vile kubadili dini n.k.
Samahani waislamu kama nimeingilia mambo yasiyonihusu.
 
Kwanza niwatakie Baraka za Idd El Fitri waislam wote duniani , na hasa waislam wa hapa JF .

Kingine ni kuomba kufahamishwa kama swali langu linavyouliza , huyu Musa Salum mbona miaka yote ni yeye tu anayetajwa kuwa Shehe wa Mkoa wa DSM , hakuna wengine ? Je alichaguliwa na Waislam au aliteuliwa tu ?

Msingi wa swali hili ni kutaka kujua tu wala si kitu kingine .

Naomba kuwasilisha .

Tafadhali sana Tumetoka kwenye mfungo usitushirikishe kwenye usengenyaji..Allah ndie mjuzi wa kila jambo..
 
Kwanza niwatakie Baraka za Idd El Fitri waislam wote duniani , na hasa waislam wa hapa JF .

Kingine ni kuomba kufahamishwa kama swali langu linavyouliza , huyu Musa Salum mbona miaka yote ni yeye tu anayetajwa kuwa Shehe wa Mkoa wa DSM , hakuna wengine ? Je alichaguliwa na Waislam au aliteuliwa tu ?

Msingi wa swali hili ni kutaka kujua tu wala si kitu kingine .

Naomba kuwasilisha .

Huyu Shekhe Mimi ' anachoniboa ' tu ni tabia yake kuwa na ' Kiherehere ' sana pindi anapokuwa na Viongozi wa Kiserikali na ukimtizama kwa yale ' macho ' yetu makali na makini ya ' Kinjagu ' utagundua kabisa kuwa ni Mpenda ' Ukubwa ' halafu ni Mtu wa ' Majungu ' na ' Fitna ' za kichinichini mno. Halafu naomba kuwaulizeni ni kwanini kila akikutana na Kiongozi Mkuu wa Waislamu wote nchini Tanzania huwa hampi ' Heshima ' yake na mara nyingi huonekana kama ' anamdharau ' na ' anampuuza ' vile?
 
Hajawekwa hapo kwa bahati mbaya au kwa mapenzi ya Allah,kawekwa kwa sababu maalum ,jiongeze utaelewa
 
Kwanza niwatakie Baraka za Idd El Fitri waislam wote duniani , na hasa waislam wa hapa JF .

Kingine ni kuomba kufahamishwa kama swali langu linavyouliza , huyu Musa Salum mbona miaka yote ni yeye tu anayetajwa kuwa Shehe wa Mkoa wa DSM , hakuna wengine ? Je alichaguliwa na Waislam au aliteuliwa tu ?

Msingi wa swali hili ni kutaka kujua tu wala si kitu kingine .

Naomba kuwasilisha .
Kawa kama mwenyekiti wa Chadema
 
Huyu Shekhe Mimi ' anachoniboa ' tu ni tabia yake kuwa na ' Kiherehere ' sana pindi anapokuwa na Viongozi wa Kiserikali na ukimtizama kwa yale ' macho ' yetu makali na makini ya ' Kinjagu ' utagundua kabisa kuwa ni Mpenda ' Ukubwa ' halafu ni Mtu wa ' Majungu ' na ' Fitna ' za kichinichini mno. Halafu naomba kuwaulizeni ni kwanini kila akikutana na Kiongozi Mkuu wa Waislamu wote nchini Tanzania huwa hampi ' Heshima ' yake na mara nyingi huonekana kama ' anamdharau ' na ' anampuuza ' vile?
Mkuu Mungu anakuona
 
Back
Top Bottom