Kwa mapokezi haya hakuna ubishi Simba ndio Brand Kubwa Tanzania kuliko timu yoyote ile...

Big brand kwa vigezo vipi? Baada ya kutolewa na kale ka timu sasa wametafuta kichaka cha kujifariji! Nilikuwa siamini kama mashabiki wa Simba ni mambumbu ...............! Na viongozi wao Wanawajulia sana
 
Hivi ipi ni brand kubwa..? Ni ile yenye Mataji mengi (26) ya VPL au ile yenye mataji machache (18) ya VPL?

Nisaidieni hapo brand inazingatia vigezo gani vya msingi....? au ndio hiyo nyomi ya mtwara?
 
Sio kweli, ukisema kuwa ni club kongwe sawa lakini kwa timu bado sana kwa sababu mwaka wa ngapi hawashiriki mashindano ya kimataifa?

Since 2012. Mwanangu anaanza darasa la saba mwakani (January 2018) tangu azaliwe July 2012 hajawahi ishuhudia simba itwae ubingwa wa VPL...
 
Kuna picha zina trend sana Simba wakiwa wanaingia kwenye Nyumba ya mganga wa kienyeji sijui ni wapi nikapata picha kwann wameenda na basi na sio ndege kama Yanga.

Chezeni mpira bana achaneni na mambo ya vifafii kama mambo hayo yangekuwapo leo Nigeria angebeba makombe yote.
 
Back
Top Bottom