Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

Tangu lini Ndevu zikawa ni Uchafu?

Au ulichunguza ndevu zake na kuona uchafu?
 
Kudhalilika maana yake sio mpaka mkewe aseme ila walimwengu tumeona, we team uchafu mwenzie huwezi liona hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana...punguza jazba na povu.

Jibu tu swali langu nililokuuliza kwa weledi bila panic

Mkewe alikuambia anakereka na hizo ndevu?

Mimi sijakuuliza nikiwa na maana mbaya.
 
Ila ni kweli mazee, huyu kiongozi amezidisha mandevu hata hanyoi... ndevu zenyewe kipilipili
 
Hapana...punguza jazba na povu.

Jibu tu swali langu nililokuuliza kwa weledi bila panic

Mkewe alikuambia anakereka na hizo ndevu?

Mimi sijakuuliza nikiwa na maana mbaya.
Ikiwa na yeye ni team uchafu hatokeleka ila sisi tulipata mafunzo ya jinsi ya kumtunza mume kwa kweli tunamshangaa mkewe anamruhusu vipi mwanaume kutoka akiwa rafu namna hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata picha za yesu alikuwa anafuga ndevu na pia anavaa kanzu ..na yesu anasema jitieni nira yangu na mjifunze kwangu....sasa leo kufuga ndevu unakuita ujinga....hahaha yaani siku hizi kuwa mkiristo maana yake ni kupinga wanavyofanya waislamu hata kma biblia imeandika huwa mnavikana so long waislamu wana pracise hiko kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawahi kuiona picha ya yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa ila kufuga Ndevu si Uchafu

Kuacha Ndevu kuwa chafu ndio uchafu wenyewe

Kuna wengine wanafuga ndevu ndefu kabisa lakini katika hali ya usafi.
Hilo nalifahamu na usafi wa ndevu ndio nausisitiza hapa,mumeo akiamka asubuhi baada ya kumtengea maji akaoge,akishavaa kabla hajatoka tujaribu kuwakagua je visikizo vya shati amefunga sawa sawa,nywele amechana?midomo sio mikavu,ndevu zimekaa vizuri?
Kumbuka kila mwanamke wa kisasa anahitaji mwanaume wake awe na muonekano mzuri wenye kupendeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungelikua wewe ndio mimi mkuu naona ungelimwambia live.BTW yeye ni muislam kwahiyo kufuga ndevu kwake ni suna mkuu halafu ndevu hazina mahusiano na uwajibikaji wake mkuu.
mvumilie tu mkuu.

mafisadi hayana chama

 
Zito acha uchafu,kama huwezi kufuga ndevu kinadhifu bora unyoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mkuu mbona vitu vingine vya kawaida sana.Mbona waliemchagua hawalalamiki kuhusu ndevu zake mkuu au wao hawamuoni kipindi hichi.
Vitu vingine ni vyakutake easy tu mkuu

mafisadi hayana chama
 
Nimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe anakukera kama nani? Kwani wewe ni mkewe? Acha ujinga aisee fanya yako acha kufatilia maisha ya mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumbe ndevu ni Uchafu!!!

ecbaa75dc61cfed3fb8af496e772d345.jpg
 
Back
Top Bottom