Ushauri: Samsung TV yangu imepasuka kioo, wapi nitapata mafundi wazuri?

Ushauri: Samsung TV yangu imepasuka kioo, wapi nitapata mafundi wazuri?

Hello wana JF!

Leo nimetoka zangu kazini kufika home nikakuta mtoto amepasua kioo cha TV flat screen nchi 42 ni Samsung na inaonyesha mistari tu yaani haionyeshi kitu.

Naombeni msaada wakuu wapi nitawapata Samsung service center yao ili wanitengenezee au wapi nitapata nafundi wa kuweza kuitengeneza, please naombeni msaada wakuu.
Mkuu wala usiangaike nenda duka la samsung pale Posta. Issue ndogo sana kwao
 
Mkuu wewe mchaga? [emoji23][emoji23][emoji23]
hapana mbeeee ila hyo ndio ilivyo kumpiga sio dawa mwambie utainunua ananiambaga sasa mimi tapata wapi hela namwambia mwaka wakuipata utaujua tu kunasiku mama ake mwaka mpya alimpa ten nilivyo enda akanipa nipeleke kwa fundi nikamwambia hii haitengenezi inatakiwa ilipwe mpya akaishiwa pozi
 
Nenda mwanyamala Kuna fundi sehemu anajua saaana
 
Mtoto kawakomesha kweli...!
Mmetoka kulipa ada December, mlikuwa mnaugulia magumu ya January, na sasa mtoto kawaharibia ISIDINGO (the need).

Poleni sana..[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
Hahahahahahah
 
Huyo dogo atacheka sana siku akikua unamwambia nataka tv yangu.
 
Miu

Mkuu kama upo DSM peleka pale JM Mail
Mimi yangu size 40 ilipasuka kiooo wakaniambia lak sita na elfu 50..
Tv yenyewe inauzwa 1M nadhan
nikaingia mtaani nikachukua tv nyingine mpya kwa laki 5
Nitafute tufanye Biashara naweza kurudisha kiasi cha pesa
 
hapana mbeeee ila hyo ndio ilivyo kumpiga sio dawa mwambie utainunua ananiambaga sasa mimi tapata wapi hela namwambia mwaka wakuipata utaujua tu kunasiku mama ake mwaka mpya alimpa ten nilivyo enda akanipa nipeleke kwa fundi nikamwambia hii haitengenezi inatakiwa ilipwe mpya akaishiwa pozi
Hahahahah haki ya Mungu ww jamaa
 
ok nenda mlimani city Samsung watakupa full direction
hakuna msaada atakao pata zaidi ya kutoa lakisita ya display mpya na 50 elfu ya fundi cha msingi njoo kariakoo dukani kwetu tutakupatia tv nzuri bei nafuu iwe samsung au lg au kampuni nyingine karibu na ALAMSIKI
 
Hello wana JF!

Leo nimetoka zangu kazini kufika home nikakuta mtoto amepasua kioo cha TV flat screen nchi 42 ni Samsung na inaonyesha mistari tu yaani haionyeshi kitu.

Naombeni msaada wakuu wapi nitawapata Samsung service center yao ili wanitengenezee au wapi nitapata nafundi wa kuweza kuitengeneza, please naombeni msaada wakuu.
Angalizo: ukishapata fundi mzuri tafuta mtu muuzie hiyo Tv ongeza pesa, kanunue nyingine
 
Pole sana Mkuu na hivi vyuma vilivyokaza kununua TV mpya ambayo haikuwemo kwenye bajeti yako lazima akili ikuzunguke.
Samahani mkuu nakuomba uje pm tafadhali.
 
Kwakuwa upo dar ukienda kwenye maduka orange huwa wanafanya matengezo ya vifaa vya Samsung hasa vile vyenye wallant Na visivyo na wallant pia
 
Back
Top Bottom