Ukishapata kazi na kumzalisha watoto wawili utaanza kumkimbia maana age difference ndo itakuwa mwake kabsaaa. bora ujikomboe sasa hivi kuliko kuja kuteseka baade kwa kujilaumu kuoa mtu aliyekuzi umri.
Kuanzia leo sitosoma hili gazeti nilikuwa naliamini sana Tanzania Daima lakini kuanzia leo nimepoteza imani kabisa. Hii habari yote ni uongo kwa asilimia mia moja. Nimesikitika sana kwa kweli. Nilikuwapo Geita na Buseresere, kilichoandikwa ni iongo of the highest order. Mwema na Wassira wote...
Nimesikitishwa na upotoshaji mkubwa kuhusu suala la Buseresere, pamoja na kwamba thread ya kusema Waziri Nchimbi alifukuzwa mazikoni imefungwa lakini ni vema nieleze kidogo kwa kuwa itafika mahali tutakuwa hatuamini tena kila kinachoandikwa humu. Waziri Nchimbi hakufukuzwa mazikoni alihutubia...
Hongera Juliana na dogo Mwampamba yaliyowapata ninyi ndio mnajua na uamuzi ni wenu. Mmechagua vema acha wengine wajeruhiwe ndo watajua kama hicho ji chama au saccos ya familia
Wateja wa PW wanalalamiiika, wao wenyewe wenye ndege wanajua ndo maana wameshusha bei. Wameshusha ya nn kama hawaogopi? Wamezoea monopoly na kunyanyasa abiria, check in ya domestic flight wanafanya sawa na international flight kisa kwa sababu wako peke yao. Wanafanya fitna na travel agent...
Zamani JF ilikuwa ni mahali panapofungua akili, kweli kulikuwa na great thinkers. Unaona watu wanavyojadili jambo kwa weledi katika angle mbalimbali, hakika nilikuwa najifunza mengi. Sasa hivi JF imekuwa ni mahali pa propaganda ambapo watu wanaleya ushabiki wa vyama na kurukia tu hoja. Mtu...
Inaonesha mnapendana siku siku nyingi sasa mnatafuta tu sababu ya kuhujumu ndoa zenu. Kama umeamua kusave kwa style hiyo unamtangazia nani humu. Huyo Bidada akisoma hizi story unadhani atafurahi. Halafu kama uligundua umemkumbatia na usiku na ukatambua kuwa haupo nyumbani na huyo uliyemkumbatia...
Msilete harakati katika mambo ya msingi ya kitaifa, system ya mabalozi wa CCM ipo tangu enzi za TANU ndiyo maana ni rahisi kuitumia kuliko hizo articial system za mabalozi wa CUF na CDM. Hata kuna kasoro ndogo ndogo katika zoezi hili tunapaswa kuziaddress pale pale sio kuanza kutoa malalamiko na...
Hizo ndiyo zinakupa upofu wa kutokuona mabaya yake! Huyo Kijana tunamfahamu uzuri! Amechenga katika mengi na kutumia CV yake ya umaarufu mwepesi wa kukataa posho sasa hivi kwa sababu ya rushwa kubwa kubwa. Katika hili haponi, hana "moral authority" tena. Mbona anaweweseka sana na tuhuma. Unataka...
Imani haiulizwi maswali, Yesu aliponya watu kumi wenye ukoma kwa kuwaambia waende wakajisafishe na maji ya Mto Yordan, mbona huulizi? Tatizo vizazi vya sasa kila kitu mnataka kutumia sayansi kupima kama Waziri wa Afya! Hata wakati wa Nuhu watu walibisha vivyo hivyo kwa kutoamini kuwa mvua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.