Wale wale.Blah Blahhapa mode umelala nini vijana wa ccm hawa washakunywa viloba vilivyo expiry na havina sticker ya tra madhara yake ndio haya!!!!!!!!!
Sijui alimbipu huyu kabla ya "uamuzi".........
![]()
Sijui alimbipu huyu kabla ya "uamuzi".........
![]()
wale wale.blah blah
wewe usiwalilie juliana shoza na mtera mwampamba walilie watanzania wa geita wanagombania kuchinja madini yanaporwa usiku na mchana.hii ni mara yangu ya tatu kutoa machozi kutokana na siasa.ctaki kuamin....niliyalilia matokeo 2010,nililia igunga na leo nalia ndugu zangu kuhamia ccm.ooooh lord
Hiyo inayoonekana kwa mbali ni nini KWENYE PICHA YA NAKAAYA???mbona tunapeana njaa jamani!!!!!!!??
Nipo serious mkuu.Nimekatishwa sana tamaa na mwenendo wa siasa unavyoendeshwa nchini.Ni ungese mtupu katika kila chama.Mitanzania ndivyo tulivyo.:angry:mkuu uko serious???
kama unaelewa siasa tambua kuwa mwanasiasa kuongea maneno na akatenda tofauti si jambo la ajabu. inategemea na mazingira yaliyopo. siasa ni mchezo mchafu. kama wewe unaichukulia kama msahafu unakosea. never believe politicians!
slaa aliwahi sema kuwa siku za shibuda zinahesabika. baada ya kusoma mazingira siku hizi anasema kuwa "watu wengine dawa yao ni kuwapuuzia".
natofautiana na wana jf waliyochangia kuhusu kuhama kwa juliana. isiwe "sizitaki mbichi hizi!" juliana alikua kiongozi bavicha. alikua na msimamo wa kuwakosoa viongozi wa juu hasa slaa na mbowe. sidhani kama hili ni kosa. inapotokea mwanachama anahoji jambo asiloridhika nalo asikilizwe.
baada ya kumkosoa slaa alionekana ni mhalifu, mtovu wa nidhamu, msaliti, kibaraka wa ccm......... siasa haiendi hivyo! kwa upande wangu naona kuwa ni pigo kubwa kwa chdm juliana kujiunga na ccm. chdm ijenge utamaduni wa kuwasikiliza wanachama wote. utukufu wa slaa na mbowe uhojiwe. tukiendelea kuwaacha watukufu, chama kitakufa
mhh hii picha mkuu ni sehemu ya kuelezea thread au ndo mambo ya kazi na dawa
najiuliza kama ataweza kumkosoa Hata Mwenyekiti wa CCM wilaya
Aiseee Safari_ni_Safari.. mbona mitego hii.. Bado ipo kule kwa chama cha magereza..? Mwigulu ameiona hii...?