Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

ni wazi umegonga mzigo, acha kutudanganya. Mmevuliana nguo, mkalala kitanda kimoja, shuka moja mkakumbatiana hapo nini kimebaki.
 
Kwani hii series si ilishaisha baada kurudi Dar toka walikoenda?sasa kuna Episodes zingine tena au bado wanaendeleana kutegana wakiwa kazini??shukuru Mungu sababu umeyashinda majaribu mazito zaidi ya uwezo wa kawaida wa bin adam la sivyo mngeanguka kwenye dhambi ya uzinzi!zperiod!huwezi jua umeepushwa na mambo gani huko mbele ya safari!
 
Huyo atakuwa m bibi siyo demu kama unavyosema. Unacheza na dushelele rijali wewe...mbona lisingebisha hodi hata kama huyo mama ana kamvuto kwa mbali. Ukweli ni kwamba ukikumbuka ukimwi halafu huna condom hormones zote zinaingia mitini, ndicho kilichokuokoa usijifanye una msimamo
 
Hiyo stori kuisoma tu huku kwa ****** kumeinuka
 
you are a ,mad man, mzinzi, usiyependa mke wako, huna hekima, haufai kuitwa mwanaume, huwezi kuwa baba wewe, na hiyo kazi uachishwe, you are not responsible, na huko ukatishwe siku, unatia aibu, na huyo mwanamke ni kahaba, ndiyo mwizi wa waume wa watu.
 
mkuu acha kuziba shimo la panya kwa mkate.... kama umeponyoka siku ya kwanza ya pili hutoki.... mi najijua hata kukaa nae hoteli moja ingekuwa kimeo
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.

wewe zuzu! mmoja wenu anatumia dawa za kurefusha maisha!
 
Kijana wataka kuingiza mchanga kwenye kitumbua chako wewe! Achana na mambo ya ku-save money kwa stahili hiyoooo coz usipotafakari kwa makin after that safari utatumia more money kwa huyo mdada + mke wako huku ukijiweka matatan kubomoa ndoa yako... Hama baba for your marriage sake na skendo ya kazin... KUMBUKA duniani hakuna siri... Jitunze
 
Inaonesha mnapendana siku siku nyingi sasa mnatafuta tu sababu ya kuhujumu ndoa zenu. Kama umeamua kusave kwa style hiyo unamtangazia nani humu. Huyo Bidada akisoma hizi story unadhani atafurahi. Halafu kama uligundua umemkumbatia na usiku na ukatambua kuwa haupo nyumbani na huyo uliyemkumbatia si yule uliyekula kiapo kwanini uliendelea kumkumbatia hadi asubuhi? Mwili wa mwanamke ni shetani wa mwanaume, huwezi kusalimika hapo. Ikimbie zinaa na usipost tena ujinga wako humu.
 
Bongo muvi..
utaota sana kwenda abroad!
 
Yani huyo dada anachelewesha muvi mimi mtoto mzuri nilale na lidude nisiliparamie
manuu nipe email ya huyo dada nimpe maujanja ya ukwee ili afanikishe na wewe ushindwe
am serious nipm
halafu manuu kwani ukimpa huyo dada umesikia itapungua au haitosimama tena
ushauri we mpe tu maana usipompa atakutangazia kuwa wewe i chichi
mpe bwana usiwe mchoyo hivyo ulichopewa na mungu kumnyima mwanamke dhambi
 
Last edited by a moderator:
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.

sjui hata kama leo itapita kinawezekana kikaeleweka
 
.....ahh, ni mambo ya kawaida sana haya. Mitihani midogo midogo tu,...stahmili, kama dereva makini wa akili yako.

Observe zebra crossings, where not to overtake, and where to Stop....hata kama hakuna Red Lights! 😎
 
Kwanza hakuna kitu kama hicho!! Umepewa hela kila mtu ya kumtosha kwa hotel, ninyi mnaenda kubana matumizi, "stupid".
Nina wasiwasi wa uwezo wako kiakili, ukiwa mke/mme wa mtu huwezi jaribu kufanya ulichosema! Kwa taarifa yako, kwamba mlilala pamoja, haijalishi mlichofanya inatosha kuvunja ndoa zenu. Kuna mambo mengi yanayoweza pelekea kuvunjika kwa ndoa, miongoni huo ujinga unaoufanya huko. Ndoa ni ya kuchunga sana ndg yangu. Usifanye ndo as "boyfriend and girlfriend" relationship. Usihatarishe ndoa yako kisa unabana matumzi. Elimu yako itakuwa na matatizo coz umehitimu vyeti ila umeelimika kwa kiwango kidogo sana!!
 
Naona sredi imefufuka..hivi bwana Manuu uko wapi?tupe feedback.
 
Mkuu rudi jukwaani utupe matokeo kwani tangu april mpaka leo mbali,hii series inatamanisha wengi kujua kilichojiri
 
manuu nimegundua mzigo umeula jana ha ha tena umekuta yupo full service tena gereji yake si bubu kaikatia leseni
ukashusha mzigo mara 7 na ndo kwa mara ya kwanza kwako
lolest kama nakuona vile
nafsi yako inavyokusuta
unaona aibu kuja huku maana ulijiona jabari loo
chezea apple wee hiyo kitu bana we acha tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom