Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Nyie kamati halali kwenu ni inayoundwa na Chadema tumieni akili msiendekeze mambo ya siasa kwenye kila kitu.
Godwinnko hiypo siri iliyotobolewa iko wapi mbona mimi sijaiona? Kwanini watu mnapenda kukurupuka kuandika vitu ambavyo havina facts? mods mkiitendea haki hii thread mtakuwa mmetutendea haki wanaJF ili siku nyingine mleta thread asikurupuke, awe makini japo kidogo.
Hii habari imekaa Kishigongo,,mbn sijaona SIRI yeyote:spy:Source:tanzania daima
Aahahah ahahahhahhhh aahahahah hadithi hadithi za sungura na fisi
siri haipo hapo nimesoma mara tatu naona hadithi tu
hata mimi nimeitafuta hiyo siri nzito bila mafanikio![/QUOTE
UKWELI NI KUWA HAKUNA CHA SIRI NZITO WALA NYEPESI HAPO NI KUOKOA VIBARUA VYAO TU NA KWAHADAA WADANGANYIKA
Nani kakudanganya kuna nchimbi kujiuzulu!!!!?Jumanne Nchimbi ataweka kila kitu hadharani, tukae mkao wa kusubiri atangaze rasmi kujiuzulu uwaziri
Jumanne Nchimbi ataweka kila kitu hadharani, tukae mkao wa kusubiri atangaze rasmi kujiuzulu uwaziri
hii habari imeandikwa na gazeti gani?
Ni ubabaishaji wa waandishi makanjanja, longo longo nyingi hamna point.