Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

halafu we mkali! yaani hata kazi huna lakini unamiliki gari..wow!bongo rahaje?
Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya Mji, tatizo ni kwamba ana umri wa takribani miaka 35 sasa, na wkt namuapproach moja ya sababu iliyopelekea asite kunikubalia ni age difference ila at last nikafanikiwa kumshawishi...washkaji na kaka zangu wananionea wivu sana wanadai huyu dem ananilea na kuna tetesi kwamba anapata mshahara mkubwa sana coz ameajiriwa zamani na ana masters degree.

Mara nyingi nalala kwake, nimebahatika kumiliki usafiri(gari) mapema so nikiamka nampeleka kazini asubuhi then narudi zangu maskani. Juzi kati nikamuuliza kwa kumtega kwamba nataka anipe mtoto akakubali! Jana nikamwambia nataka nimuoe akakubali! Ana uzuri wa kawaida tu ila ni mstaarabu sana, muwazi, hana mambo mengi na ananiheshimu sana ingawa kanipita umri! Nafikiria kumuoa mara tu nikipata kazi, je kuna tatizo lolote hapo wajameni?
 
wewe mpenzi wako akikuzidi umri huoni shida mkuu?
..kuna dogo pale sauzi kaoa ana miaka nane,sembuse 26,akiweza kusimamia maamuzi yake haina shida ingawa its not recomended kama anaenda kwa tamaaa ya ngono hawatadumu...
 
Age is not a problem. Jamii yetu inabadilika siku hizi. Kama kweli mnapendana muoe manake hapo imebaki kuhalalisha tu si unalala hadi kwake .
 
Hakuna shida kwa sasa ila shida baadaye,na best kuwa muwaz je umempenda kweli dada wa watu au umependa vitu vyake? Km umependa vitu vyake pls achana naye na ufight upate vyako,usiharakie maisha.
 
Hakuna shida kwa sasa ila shida baadaye,na best kuwa muwaz je umempenda kweli dada wa watu au umependa vitu vyake? Km umependa vitu vyake pls achana naye na ufight upate vyako,usiharakie maisha.
 
Mwanamke anakuzidi miaka 9!!! Kweli mapenzi ni kikohozi!! Lakini bora wewe maana yule wa Hadija Kopa ni balaa zaidi!! Eti anatunanga na nyimbo eti kwa nini tunamshangaa!! Marrying age mate or less of your son? Ridiculous!!
 
Zaman wanawawake walikuwa wanazeeka mapema kutokana na majukumu tofaut na sasa unaweza kutana na mwanamke mwenye miaka 40 ukabisha ukajua anamiaka 25 na ukakutana na wa 25 ukabisha ukajua ana 45..Kama anajipenda na kiuml haonekan na hiyo miaka oa tu age is just a numbers

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hiv kwanini mnashindwa kuinjoi mapenzi yenu kwa sababu zisizomithilika jamani!
kwani miaka 35 ana pembe mabegani!kama umeweza kuwa naye kwa furaha muda wote huo nini shida akiwa mkeo!
ila sasa natamani huyo dada asome hiki ulichoandika hapa!
kwa lugha jamii yangu niliyonayo kijana uko hapo for what tht sis of mine has!
UNABISHA?
angalia ulivyoharakisha kusema kuwa huyo dada ana nini?
tabia zake na undani wake umeviweka mwiiiisho
so nahis sio a worthy person to her kihiiivyo!
NAWAZA TU kwa sauti lakini!
samahani kama nimekukwaza Amicus Curiae
 
Last edited by a moderator:
serengeti
watoto watakuwa wanamsalimia na wewe utakuwa unamsalimia.
kazi kweli kweli
 
muume ni muume tu ndugu yangu achana na maneno ya wa tz chukua mzigo huo uyo dem anakupenda na atazidi kukupenda sana hususan kutokana na huo umri wako na ukiwa humtaki nifanyie mpango mimi .
 
Ukishapata kazi na kumzalisha watoto wawili utaanza kumkimbia maana age difference ndo itakuwa mwake kabsaaa. bora ujikomboe sasa hivi kuliko kuja kuteseka baade kwa kujilaumu kuoa mtu aliyekuzi umri.
 
Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya Mji, tatizo ni kwamba ana umri wa takribani miaka 35 sasa, na wkt namuapproach moja ya sababu iliyopelekea asite kunikubalia ni age difference ila at last nikafanikiwa kumshawishi...washkaji na kaka zangu wananionea wivu sana wanadai huyu dem ananilea na kuna tetesi kwamba anapata mshahara mkubwa sana coz ameajiriwa zamani na ana masters degree.

Mara nyingi nalala kwake, nimebahatika kumiliki usafiri(gari) mapema so nikiamka nampeleka kazini asubuhi then narudi zangu maskani. Juzi kati nikamuuliza kwa kumtega kwamba nataka anipe mtoto akakubali! Jana nikamwambia nataka nimuoe akakubali! Ana uzuri wa kawaida tu ila ni mstaarabu sana, muwazi, hana mambo mengi na ananiheshimu sana ingawa kanipita umri! Nafikiria kumuoa mara tu nikipata kazi, je kuna tatizo lolote hapo wajameni?
Ukioa mwanamke utakaa nae wewe na sio kaka,baba,mama au rafiki zako,kama unaona unaweza kukaa nae oaneni tu!
 
Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya Mji, tatizo ni kwamba ana umri wa takribani miaka 35 sasa, na wkt namuapproach moja ya sababu iliyopelekea asite kunikubalia ni age difference ila at last nikafanikiwa kumshawishi...washkaji na kaka zangu wananionea wivu sana wanadai huyu dem ananilea na kuna tetesi kwamba anapata mshahara mkubwa sana coz ameajiriwa zamani na ana masters degree.Mara nyingi nalala kwake, nimebahatika kumiliki usafiri(gari) mapema so nikiamka nampeleka kazini asubuhi then narudi zangu maskani. Juzi kati nikamuuliza kwa kumtega kwamba nataka anipe mtoto akakubali! Jana nikamwambia nataka nimuoe akakubali! Ana uzuri wa kawaida tu ila ni mstaarabu sana, muwazi, hana mambo mengi na ananiheshimu sana ingawa kanipita umri! Nafikiria kumuoa mara tu nikipata kazi, je kuna tatizo lolote hapo wajameni?
Hongera. Lakini yakupasa kuangalia kwa undani maisha yake halisi. Ni ngumu kujua lakini vuta subira. Nakulaumu kwa kutanguliza mbele haja yako ya moyo kabla ya kufahamu nini kiliwahi kuwepo nyuma ya pazia. 35yrs ni parefu, milima na mabonde hayakukosa kwenye maisha yake
 
kawaacha wakubwa wenzake kakufuata wewe jiulize kwa nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom