matusi yapo ya aina nyingi si yale yalio wazi wazi ambayo yanakemewa hapa jf.mkuu ulisoma hii coz au ndio kichwa cha habari kilikuvutia tu?kamaa nawe haufahamu kaa kimya usitake kupost tu ili ziwe nyingi.
IAM a second year student in a certain university ,i have a problem on memorizing the twenty basic amino acids.So any one who knows the simply formular for memorizing them,plz plz plz help me.
hivi huyo jamaa aliyetoa hii taarifa alisomea wapi na huu utafiti alifanyia wapi,Unajua wachina ni waatalaam sana wa tiba za asili (chinese traditional medicine).hizi habari ziliniumiza kichwa ikabidi nimuulize profesa mmoja wa tiba asilia za kichina akajibu"hamna kitu kama hicho".yaani hapa...
hapa tunaangalia uwezo binafsi pindi wanapokuwa uwanjani,hilo suala la kufanikisha klabu au national timu kufanya vizuri mie naona mchango wake ni mdogo sana,mfano hata mchezaji aliyecheza mechi chache lkn kwa kuwa alikuwepo katika hiyo club au national team na ikafanikiwa kutwaa taji basi...
hawa jamaa wote wanatandaza soka.ila tukija katika fair play,lionel mess ni zaidi.huyu jamaa ronaldo ana hasira sana,pia vimajivuno kwa mabli,ila huyu dogo mess yeye ni fair play tu.mess zaidi
hawa jamaa website yao sio kimeo ila kuna watu wanaitilia mkono,kwa wale wasiotumia AVAST ANT-VIRUS basi huu ndio wakati wao,mie nimeeifungua kiutemi utemi
wachina sio wakweli katika taarifa zao,siku zote wao wanajifanya wasiri,yawezekana kweli kuna watu wamekufa ila station zao zote hapa zinasema hakuna aliyekufa na isitoshe hali ni shwari.Kumbukeni hata wakati wa winter kuna watu wengi sana walikuwa ila wao walikuwa wanaficha.mie hawa jamaa...
tafadhari ndugu,uwe unaweka habari ambazo zina kichwa na miguu,kabla ya kifo cha huyo mzungu kutokea,huyo kibarua alikuwa anawasiliana vipi na hao wazungu?mie ungekaa tena mezani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.