Natafuta Mme !

NG'WALU

Member
May 26, 2008
20
5
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!

any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi
 
Last edited by a moderator:
Mke Anatafutwa Huy Wa Kujimwaga Au Kujinadi Tumwope Kama Ukoma,mwanamke Shurute Awe Na Soni, Huyu Kesha Tumika Sana Sasa Ajitangaza
 
Wewe hutaki mme,ila unataka tittle kuwa nawewe ni mrs,mme bora si kiwango cha elimu wala pesa,bali mume bora ni yule anaye weza kusimama kama baba wa familia,ok elimu ni sifa za nyongeza.

angalia usije ukaolewa na degree badala ya kuolewa na mwanaume,wasichana wengi wameolewa na vyeo vya watu halafu wanachopata ktk ndoa ni kilio.
 
wewe ndo umeona hivyo sawa!
asante kwa ushauri
 
....oooh, pls pls pls, msiniogopeshe mimi jamani! am scared right now....
Cry-Baby-Hate-T.jpg
 
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!

any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi

mie sijafika miaka 25
sijuhi itakuaje?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom