Toboamambo
Member
- Sep 16, 2007
- 26
- 5
Sheikh mmoja na Padri walialikwa kwenye semina Nairobi Kenya.
Siku moja jioni Padri alimpa ofa ya dinner huyu Sheikh. Wakati wanakula akaagiza bia na Sheikh akaagiza Fanta.
Padri :"mbona huagizi bia?"
Sheikh :"IT IS AGAINST MY FAITH"
Padri :"YOU ARE MISSING A LOT"
Kwa sababu walikuwa wameanza kuzoeana kesho yake Padri akatoa ofa ya lunch pia. Ilikuwa ni buffet na kitimoto kilikuwepo. Kwenye sahani ya Padri kitimoto kilikuwepo lakini Sheikh hakuchukua. Wakati wanakula
Padri :"Sheikh mbona hakuchukua kitimoto?"
Sheikh akajibu :"IT IS AGAINST MY FAITH"
Padri akajibu :"YOU ARE MISSING A LOT"
Jioni walipanda ndege kurudi Dar na pale Airport Sheikh alipokelewa na binti zake watatu warembo sana.
Naye akawatambulisha kwa Padri ambaye alionyesha kuvutiwa sana na warembo hao.
Sheikh alimuangalia Padri na akagundua kwamba amevutiwa na binti zake,
Sheikh :"unaweza ukaoa mmoja"
Padri :"'IT IS AGAINST MY FAITH"
Sheikh :"YOU ARE MISSING A LOT A LOT"
WHO IS MISSIG A LOT?
Wasomaji kazi kwenu! Nawatakia siku njema