Tovuti ya Mwananchi ina Virus

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
555
7
Ni mara ya pili sasa nakumbana na kisanga hiki,

Nikifungua nakumbana na mavirus namatrojan and the like....sasa sielewi imekuwa hacked au ni nini can they do something? au ni mimi tu wajameni?
 
Website hiii ni kimeoo sana hata mimi leoo.......imenifanziaa same story.......haifai jamanii watu wa mwananchii kulikoni?????
 
Mie Imeniumizia Computer Yangu Leo Duh Ni Hatari Nimejitia Sijali Nikafungua Link Ikanionya Nikalazimisha Nimejuta
 
ile website imeharibiwa na CCM maana leo ilikuwa na habari kali; ikiwa haijawaunga mkono kwa wazi wazi huku habari ilr ikisimamia umoja wa kitaifa kuliko maslahi ya watu na CCM, hata hapa nadaeni super anti virus la sivyo watatuangamiza wapigania haki na umoja wa kitaifa na maemdeleo ( maana wao wanatukuza Mafisadi na kuwaandalia sherehe kibao)
 
hawa jamaa website yao sio kimeo ila kuna watu wanaitilia mkono,kwa wale wasiotumia AVAST ANT-VIRUS basi huu ndio wakati wao,mie nimeeifungua kiutemi utemi
 
unajua tangu mchana nacheck nikaona virus wa kumwaga...

Antivirus aina ya SEMANTIC inamtambulisha virus huyo kama JS-Downloader..sometimes PC ina Hang na shughuli zako huwezi kuzifanya.
Labda tupate experience ya Antivirus wengine wanasemaje?
 
Hujatoa maelezo ya kutosha na kitaalamu kuhusu tuhuma hizo bwana Kubwajinga .

Binafsi niliwahi kumwandikia webmaster wa tovuti hii pamoja na zingine za habari hapa tanzania kuhusu baadhi ya matatizo lakini sio virus

Naomba ueleze kiundani inakuwaje na inakuadhiri vipi
 
Nimefungua tovuti hiyo sasa hivi computer yangu ikawa slow ghafla imebidi ni restart ila bado sijadhibitisha kama kweli ni virus au ni computer yangu kimeo
 
Hujatoa maelezo ya kutosha na kitaalamu kuhusu tuhuma hizo bwana Kubwajinga .

Binafsi niliwahi kumwandikia webmaster wa tovuti hii pamoja na zingine za habari hapa tanzania kuhusu baadhi ya matatizo lakini sio virus

Naomba ueleze kiundani inakuwaje na inakuadhiri vipi

Mkuu Shy,
Ninatumia Norton AV package na imegundua virus wakitaka kujiingiza (install) kwenye computa yangu kila nilipojaribu kuifungua www.mwananchi.co.tz. Hivi sasa naona na page nayo haifunguki tena labda webmaster wao amegundua. Hao virusi wanajaribu kuku-redirect kwenye site ya www.ririwow.cn/real ila kwa vile nina AV, connection iliweza kuwa blocked na virusi hawakuningi wakawa quaranteed. Sielewi solution kwa hivi sasa lakini ni vema kama huna Anti Virus kuikwepa hii site kwa hivi sasa.
 
Ni kweli website hii ina matatizo, karibia wiki sasa kila nikifungua kuna 'trojan' inaji-install na internet speed inakuwa slow sana. Bahati mashine yangu in MCfee on access scan lakini ilinilazimu ku-restart computer ndio ikarudi kawaida.
 
Ni kweli kabisa www.mwananchi.co.tz in virus. Ninatumia askari wa kulinda laptop yangu na kila nikifungua mwananchi website virus wanakuwa detected na ni aina ya worms/trojan horse. Nadhani pia Majira.co.tz wana tatizo hilohilo. So be careful, protect your computer.
 
Mimi iliniletea matrojan na mavirus mengine nimesahau. Natumia Norton internet security 2008. Kusema kwqeli ni hatari sana!
 
Jamani mbona wataalam wa IT vipi web ya Mwananchi? mnaweza kutuhabarisha nini kinaendelea au ni matatizo ya kiufundi tu? asanteni
 
Inaelekea, mafisadi hawataki kuyaona magazeti yanayowaandika vibaya mtandaoni. Nchi nyingine unaweza kwenda jela kwa kuharibu mtandao wa kampuni ili usipatikane, kwa Tanzania naona bado tuna sheria za mwaka 47.
 
Back
Top Bottom