What is the Simply Formular for memorizing the 20 basic AMINO ACIDS?

kaboka

Member
Feb 25, 2008
36
1
IAM a second year student in a certain university ,i have a problem on memorizing the twenty basic amino acids.So any one who knows the simply formular for memorizing them,plz plz plz help me.
 
Do your home work, u need to understand not cracking.....

matusi yapo ya aina nyingi si yale yalio wazi wazi ambayo yanakemewa hapa jf.mkuu ulisoma hii coz au ndio kichwa cha habari kilikuvutia tu?kamaa nawe haufahamu kaa kimya usitake kupost tu ili ziwe nyingi.
 
Kijana no way out you have to understand and not memorize
 
kaboka,
Hope u've learned to memorize the Amino Acids. I have a prblem relating to Acids i dont whether they are Amino or not.
i've been experiencing heartburn every morning after having breakfast especially when i take coffee, milk tea or any product of cereals. I've tried a litre of water after breakfast but it desnt help at all.
if anyone can help please i would appreciate it
 
Dogo usitafute mtelemko, narudia tena do your home work!! Nimesoma chemistry kwa level kubwa tu...kama una shindwa kukumbuka 20 amino acids majina tu hadi uombe msaada JF basi ni vizuri ukadrop hilo somo....ukiambiwa ujue structures zote za Amino acid utakuja tena JF? inabidi uzijue hata kama umetoka usingizini...pole sana kama hukufurahia jibu langu lakini ukweli usipende mtelemko work hard kijana....

matusi yapo ya aina nyingi si yale yalio wazi wazi ambayo yanakemewa hapa jf.mkuu ulisoma hii coz au ndio kichwa cha habari kilikuvutia tu?kamaa nawe haufahamu kaa kimya usitake kupost tu ili ziwe nyingi.
 
sasa mkuu si kuna vitabu vingi tu vinavyousu hiyo kozi yake si uende kuvisoma au nenda kwenye google kama mdau hapo juu alivyokuambia ukishindwa kabisa u hav to drop that caurse isikutie wazimu na sio lazime uelewe au un mpango wa kuwa mwalimu ili ufundishe wengine tuambia kaka
 
dogo bora tu udrop hiyo kozi utaliwa kichwa, kaa huwezi kujua majina ya hizo 20 basic amino acids utaweza kujua structure zake, nimewahi kusoma veterinary medicine hivyo vitu vipo kichwani hadil eo
 
dogo bora tu udrop hiyo kozi utaliwa kichwa, kaa huwezi kujua majina ya hizo 20 basic amino acids utaweza kujua structure zake, nimewahi kusoma veterinary medicine hivyo vitu vipo kichwani hadil eo

Hahahaha mzee ni kweli kabisa dogo atafute nondo za kumfaa hapo kwa kweli JF haina cha kumsaidia watakula kichwa, baadaye atakuja kuuuliza electrochemical (reactivity) series na periodic table......drop hiyo course huiwezi....
 
Ushi & Co - mbona mnakuwa ruthless hivyo? Mshikaji kaomba msaada, sasa baada ya kumsaidia, mmebakia kumvunja moyo na kumkata maini. Pengine hiyo class yeye ni prerequisite tu, na wala hana mpango nayo.....labda anataka msaada wa kucheat hizo acid "what?", ili apate grade na kumove on na masomo mengine muhimu kwake....
 
IAM a second year student in a certain university ,i have a problem on memorizing the twenty basic amino acids.So any one who knows the simply formular for memorizing them,plz plz plz help me.

Unaonaje ukianza kujifunza lugha unayojifunzia Chemistry kwanza?

On a serious note, repetition perfects, so read a lot and make use of what you read. Read like you are preparing to explain the materials to a class of peers who are not familiar with this subject, in simulating teaching, you will push yourself to understand the core subject matter.

Memorizing may or may not work.For example, memorizing the order of the periodic table may help you understand the underlying atomic stucture, bonding, valency and its effects on physio-chemical characteristics.But some people may memorize the entire table but fail to notice the pattern of characteristics exhibited by the columns.

It is the understanding of the subject matter that led Mendelev to theoretically discover elements that were not even observed.Otherwise you might as well become what Professor Murray-Gell Mann in a 1953 anecdote called a "botanist" in obvious and sarcastic contempt of the sheer and overly-taxonomic nature his beloved Physics was taking.
 
Guys, can we be positive for a moment? I am a believer in using smarter ways to get same or better result than using mechanical means. The request was simple - that is the quick way to remember the 20 basic Amino Acids.

What is obvious to you may not necessarily be to someone else.

I advise that we do not put our critique hats everytime we encouter someone asking for help.

my two cents.
 
I advise that we do not put our critic's critic hats every time we encounter somebody against the enabling culture, someone who is actually trying to help instead of retarding.
 
Prince, it is a bit frustrating for a second year university student, can not remember 20 amino acids!!!! I stand to be criticized this is a poor student, google and wikipedia can help rather than JF.

Ushi

Guys, can we be positive for a moment? I am a believer in using smarter ways to get same or better result than using mechanical means. The request was simple - that is the quick way to remember the 20 basic Amino Acids.

What is obvious to you may not necessarily be to someone else.

I advise that we do not put our critique hats everytime we encouter someone asking for help.

my two cents.
 
IAM a second year student in a certain university ,i have a problem on memorizing the twenty basic amino acids.So any one who knows the simply formular for memorizing them,plz plz plz help me.

Dogo, mie ninakushauri utulie na kusoma; bila kusahau kuwa kukariri pia ni kati ya mbinu za kuelewa jambo/somo gumu.
Ninakutakia kila la heri.
 
Guys, can we be positive for a moment? I am a believer in using smarter ways to get same or better result than using mechanical means. The request was simple - that is the quick way to remember the 20 basic Amino Acids.

What is obvious to you may not necessarily be to someone else.

I advise that we do not put our critique hats everytime we encouter someone asking for help.

my two cents.

Kwa wale ambao hamkupitia chemistry/biochemistry/molecular biology, kujua majina ya acids aliyoshindwa bwa' mdogo ni kitu basic na rahisi sana katika swala hilo la basic amino acids. ukishajua amino acids hizo unatakuwa ujue pia RNA strands combination zinazotumika kucode kila amino acids vilevile na na structure zake na properties. Haina maana kukariri majina tu bila properties zake kama nilivyoainisha hapo juu. ndio maana nasema dogo adrop hiyo kozi maana watakula kichwa.
 
Attachments

  • Gly_trp.JPG
    Gly_trp.JPG
    8.5 KB · Views: 54
Habari zenu wakuu
Mimi nafikiri ndugu Kaboka yuko right kutumia hii forum ya elimu kuuliza vitu kama hivi...... kutaka msaada wa mnemonics ni jambo la kawaida hususwan katika fields kama medicine.....na wala si dalili ya uzembe kama baadhi wachangiaji wanavyotaka kuonesha........waliosoma hizo kozi watakuwa wanakumbuka nyimbo walizokuwa wanaimba ku memorise baadhi ya basic things.

Kwa essential AA;

I used to remember them by MNEMONIC

"These Ten Valuable Amino Acids Have Long Preserved Life In
Man."

Threonine, Tryptophan,Valine, Arginine, Histidine,Lysine, Phenylalanine,Leucine,Isoleucine, Methionine

[
B]MATT VIL PHLy [/B]
Methionine
Arginine
Threonine
Tryptophan
Valine
Isoleucine
Leucine
Phenylalanine
Histidine
Lysine

Unaweza uka arrange hivi pia(A HILL IN MADYA PRADESH TRANSMITTS TV SIGNALS )

Katika hizi links utapata mnemonics ya topic zingine pia

http://mednote.co.kr/Yellownote/BIOCHMNEMON.htm

http://www.netmedicos.com/?mnemonics/topic/1322/

http://www.medicalmnemonics.com/cgi-bin/return_browse.cfm?discipline=Biochemistry&browse=1

Good luck Kaboka 'n others
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom