Recent content by igose

  1. I

    JamiiForums Tanzania Gari gani nzuri Dar-Mbeya

    Unasafiri lini,karibu mbeya..nicheki pasaka hii nitakuwa green city,na usafiri ni Dar lux na new force,colors star
  2. I

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Ufafanuzi plz
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mchumba hataki kusex anataka kulipa mahari

    Humwelewi nn,amepewa mashart amekubali...ngoja afunge ndoa kabisa coz nae anajua huyo Dada ni Virgin sasa kazi siku ya ndoa anakuta kitu kinapita bila chenga...atavunja ndoa ooh,haya mambo ya miaka hiyoooo 1940s ,au unampa muda mzuri wa kujiselfisha nje ya huyo Dada... Ngoja nimwambie huyo...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Mmh mbona matusi mmeanza tena
  5. I

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Usije ukawa unatabiri ukweli
  6. I

    JamiiForums Tanzania Madiwani na Mbunge waliotajwa na PolePole kutaka kujiunga CCM.

    Njaa na vyeo vinawatesa watu jamni ...njaa mbaya sana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

    Hapo sasa naamini nimepata mke mwema njoo ni Pm tuongee mengine yamziki hayo yanaisha baada ya kukaa ndani.. Kama upo serous lakini.. Nitafute
  8. I

    JamiiForums Tanzania Salimia kwa lugha unayoijua!

    Kigogo...Mbukwenyi..asubhi .....Swelowenyu..jioni ...Mihanyenyi....mchana Karibuni tujifunze kigogo jamni makao makuu hapo..usije pata shida ya kuomba malenga
  9. I

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Mtoa Mada yupo kimyaaa katulia tu anasoma Uzi....
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwa Ramani ya Gambia ilivyo ECOWAS wataipiga ndani ya one week!!

    Bdo dk kadhaa tu wakinukishe hii desturi ya Ma Rais wetu wa Afrika ya kupenda utukufu acha wamtoe tu kijeshi..
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    2017 ndio mwaka mgumu kuliko mwaka uliopita wa 2016.ndio maana mm mshindi.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Huyu mchumba vipi?

    Da jamni Masai kaomba ushauri sasa naona maneno tu..ya kumkatisha tamaa, Kwa ushauri wangu..kaa nae utaijua tu tabia yake ...achana na sababu ndogo Kama hizo...potezea kama unampenda kweli
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, nimetembea na wanawake 50, asilimia 60% wake za watu.

    Naona Trump yupo sahihi...
Back
Top Bottom