Salimia kwa lugha unayoijua!

Salimia kwa lugha unayoijua!

Masela mambo vp ....
Vp majita wangu.....
Oyaaa vp.....
 
Kigogo...Mbukwenyi..asubhi
.....Swelowenyu..jioni
...Mihanyenyi....mchana
Karibuni tujifunze kigogo jamni makao makuu hapo..usije pata shida ya kuomba malenga
 
Jamani navyojua Mimi kihaya ni Waguma huyu mleta Mada vepe
 
Saitaa - kiiraqwi

Zaazidi - kikommoro

Bonjour - kifaransa

Namnani - kipare

Narendu - kimeru

Bangusilo 😀 hiyo sio salam lugha ya kizaramo means Kafala🙄
 
Saitaa - kiiraqwi

Zaazidi - kikommoro

Bonjour - kifaransa

Namnani - kipare

Narendu - kimeru

Bangusilo 😀 hiyo sio salam lugha ya kizaramo means Kafala🙄
Saitaa= saayuu,

Naarendu = naare nsuri akwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom