SENEGAMBIATena gambia inafaa kuwa makao makuu ya senegal ilipokaa kijiografia. Wajiongezee kamkoa ka gambia.
Sawa shogaangu!Kuingia DRC na kuiba tayari ni jeuri!usitoe povu mama..
Hana mpango halafu anang'ang'ania madaraka ? Huyu wamle kiboga ili iwe fundisho kwa wengineJammeh hana mpango wa kuanzisha vita, ila nchi zenye kupenda vita kama Senegal ndizo ambao zinakuwa kimbelembele
Israel anasaidiwa na USAu israel imezungukwa pande zote
Vikwazo vya ukiuchumi , ili iweje ? Hili wananchi waumie, huyu mbwa jammeh aondolew kijeshi tuNakuelewa mkuu,
Lakini ukweli ni kwamba hata kama wameombwa na wapiga kura wa Gambia,
Uvamizi wa kijeshi siyo njia sahihi kwa sasa, wangemuwekea vikwazo vya kiuchumi tu.
Lazima atasalimu amri.
Tukiangalia hili jambo kwenye taswira kubwa,
Afrika yetu haitakiwi iige kila kitu kutoka Ulaya na Marekani,
Kama tukianza kuvamiana kijeshi leo, nakuhakikishia haitaishia hapo tu.
Litakuwa ni Zimwi Jipya kuingia barani Afrika mbali na Umasikini, Maradhi na Ujinga.
Utasikia uchaguzi wa Zimbabwe haukuwa huru na haki,
SADC itume kikosi kazi kwenda kumtoa Robert Mugabe.
Utasikia tena Uchaguzi wa Burundi siyo wa huru na haki,
Rwanda na Uganda wanapendekeza EAC itume kikosi kazi kumtoa Nkhurunzinza.
Mwishowe tutakuja kufika sehemu,
Nchi kubwa zenye nguvu zitatumia huo mwamvuli kuvamia nchi nyingine.
Mwaka 1938 Adolf Hitler alivamia Czechoslovakia akisingizia kwamba anaenda kulinda haki za raia wa Czech na Slovakia.
Lakini ukweli ni kwamba alichokifanya Hitler ulikuwa ni Uhalifu wa kivita.
ECOWAS watakuwa ni watu wa hovyo sana kama wakikubali kufanya huu uamuzi,
Hovyo! Hovyooo kabisaaaaa!!!!
Sio jambo dogo , yaani ang'ang'anie madaraka halafu useme jambo dogoMkuu swali langu mimi ni dogo tu,
Kwanini watumie nguvu kubwa hivyo wakati kuna njia nyingine mbadala?
Israel anamtegemea marekani, hata ile wanaosema israel waliwapiga waarabu , marekani ndio alishiriki kwa kiasi kikubwa,Israel imezungukwa na nchi hasimu ila dakika chache tu wakilianzisha anawachakaza. Kwa Gambia ata mm nimewachoka ma nkurunzinza, wasipoiba matokeo ya uchaguzi basi watagoma kutoka. Nataman ata hapa Africa mashariki tuwe na kijeshi kama ecowas, pia tungekua na tume huru ata huyu mh hasingekua madarakani.
Huyu mtu si ana jeshi na jeshi lake liko nyuma yake? Kama ndivyo huenda ndiyo maana jamaa wanajipanga kuingia kijeshi.Sioni sababu ya kuumiza raia wasiokuwa na hatika kwa vita isiyohitajika..
Wamkamate tu na kumfungulia kesi ya uhaini kama kaitba ya nchi inazungumza vile. Komando wachache sana wanaweza kumbeba na kumshughulikia akiwa nje ya Gambia ili kuokoa raia wengine. Mauaji hatutaki. Amechinja wengi na ndiyo sabbu ya kukimbilia kuiondoa nchi kwenye ICC as if Wagambia ndio wanataka kiongozi mumiani. Anaogopa kuadhibiwa kwa uaharifu wa kibiandamu ambao amewafanyia Wagambia na hicho ndicyo kinamfanya ang'ang'anie madarakani.
Kikundi chochote kinacholazimisha ushindi ama kubaki madarakani hata kwa njia haramu (mf.), upande wa pili kuna hofu ya adhabu zitokanazo na uharifu kwa raia.
Asomaye na Afahamu
Mkuu kumkamata Rais wa nchi siyo jambo rahisi hata kidogo.Sioni sababu ya kuumiza raia wasiokuwa na hatika kwa vita isiyohitajika..
Wamkamate tu na kumfungulia kesi ya uhaini kama kaitba ya nchi inazungumza vile. Komando wachache sana wanaweza kumbeba na kumshughulikia akiwa nje ya Gambia ili kuokoa raia wengine. Mauaji hatutaki. Amechinja wengi na ndiyo sabbu ya kukimbilia kuiondoa nchi kwenye ICC as if Wagambia ndio wanataka kiongozi mumiani. Anaogopa kuadhibiwa kwa uaharifu wa kibiandamu ambao amewafanyia Wagambia na hicho ndicyo kinamfanya ang'ang'anie madarakani.
Kikundi chochote kinacholazimisha ushindi ama kubaki madarakani hata kwa njia haramu (mf.), upande wa pili kuna hofu ya adhabu zitokanazo na uharifu kwa raia.
Asomaye na Afahamu
AkishaondolewaVikwazo vya ukiuchumi , ili iweje ? Hili wananchi waumie, huyu mbwa jammeh aondolew kijeshi tu
Hivi hii nchi kuna nyumbu kama baba jessssicaUtakuwa ni nyumbu wewe ndo wananaamawazo ya aina hii....
Mkuu kumkamata Rais wa nchi siyo jambo rahisi hata kidogo.
Huwezi kumkamata rais wa nchi Kama vile unakamata majambazi ni lazima damu imwagike tu ndo wamkamate si rahisi kihivyo.
Uko sahihi. Juzi kati Kikwete alienda kupiga M23 Kagame na jeuri yake alisinyaa. Rwanda mnamkuza tu, size yake Burundi na GambiaRwanda ameshapigana vita gani na ni jeuri gani aliyonayo?