Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,574
- 48,724
Salam aleikum wadau,
Mimi kama Mwenyekiti wa wanawake tulioamua kustaafu kusex bila ndoa nimepata malalamiko toka kwa mwanachama wangu mnajua bana sisi wanawake mtuelewe tu sometimes tupo off saa zingine on kapata mchumba sharti la kwanza mwenyewe mdada akamwambia jamaa no sex till marriage jamaa akamwambia poa hata mimi nataka mwanamke kama wewe.
Imefika katikati mdada anataka kujaribu amemtega jamaa wewe hadi amelala kwake ila jamaa hapigi gemu kabisa na sasa anaprocess ndoa. Sasa huyu member mwenzetu anadai ana hofu anataka gemu kwanza mimi hata simuelewi jamani anaomba ushauri maana nimempa ID yangu hapa anasoma.
Matusi muache jamani, shaurini kiungwana mambo ya mahusiano ni magumu jamani.