Recent content by Gokona

  1. G

    Mafuta ya Ubuyu

    Wanajamii naomba mnipatie contact za muuzaji wa mafuta ya ubuyu plse.
  2. G

    Kwa hili waziri wa nishati na madini hakuwa sawa

    Tatizo wewe ni kilaza kama Tindu lissu ,Prof mtu wa research na data Lissu alitaka kujaribu amekumbana na kisiki cha taaluma na siasa zake za maji taka.
  3. G

    Natafuta shule za kurudia masomo ya kidato cha nne dar es salaam na siyo centres.

    wadau naomba mniambie ni shule zipi Dar es salaam mwanafunzi anaetaka kurudia kidato cha nne anaweza kupata nafasi ya kuwa full time darasani.Angalizo sio bora shule bali ni shule bora.
  4. G

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    kaka naomba utoe contact zako including email address ili nitandae tuweze kuwasiliana kaka.
  5. G

    Hawa ma-DC kama hawako Kikatiba, budget zao hutoka wapi?

    Mkuu kama aliye na dondoo anijuze hivi hawa Wakuu wa mikoa na wilaya wanapata mshahara kiasi gani kwa mwezi nikimaanisha net na sio gross
  6. G

    Hawa ma-DC kama hawako Kikatiba, budget zao hutoka wapi?

    Hivi hao ma DC kwa mwezi wanalipwa shilingi ngapi?
  7. G

    Tuache kudanganya watanzania na pima joto kama za kina Maggid Mjengwa

    Ndugu zangu kamwe Tanzania haitapiga hatua kama wale wanaojiita wafikishaji taarifa kwa wananchi watafanya hivyo kwa ushabiki. Nimeona niliseme hili hasa kwa huyu ndugu yangu Mjengwa na pima joto yake feki tena yenye chembechembe za ukanda,ubaguzi na uchochezi maana Igunga hachaguliwi Rais...
  8. G

    Kiwanja cha mradi kinauzwa-Buyuni 2000sqm

    Mkuu naomba kwa mawasiliano zaidi unitumie namba yako ya simu please
  9. G

    Hali ya hatari kwa CHADEMA

    Unajua USIONE VINAELEA VIMEUNDWA,LAKINI KIKUBWA BINADAMU HAKAMILIKI LAKINI UKWELI UNABAKI PALEPALE KUWA ZITO AMETUMIA MUDA MWINGI KUIJENGA CHADEMA NA NDIO LEO INAONEKANA KAMA CHAMA MAANA WASOMI WENGI NA WANAZUONI WALIINGIA KWA USHAWISHI WAKE LAKINI KUTOKANA NA UCHU WA MADARAKA, UKABILA,UKANDA NA...
  10. G

    Hawa ndio mabingwa wa kuropoka bungeni

    Hili ni tatizo la kuwa na wabunge wanaopenda kupata umaarufu wa haraka kama Lema kuliko kujali maslahi ya watanzania.Mfano mdogo kwamba CDM hakijali maslahi yetu ila wanajiangalia wao maana ukiangalia rasimu ya katiba waliitaka itembezwe nchi nzima maana yetu kodi yetu itumike wakati sisi...
  11. G

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Hata mimi nimeisikia hizo habari lakini siziamini. Babu yupo na ataendelea kuwepo.
  12. G

    Wateja wa asali afrika mashariki na dubai

    Wadau poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa sasa naomba kuleta mezani hoja ya kutafuta soko la asali mbichi ya nyuki wa dogo.naomba msaada wa masoko.
  13. G

    CV za Wabunge Wapya Chadema

    Tatizo lenu humu kwenye jamiiforums mmekaa kisiasa mtu anasema anaomba CV za wabunge hao wachadema mnakuwa wakali tatizo ni nini hawa ni waheshimiwa wabunge wateule wa jamhuri jitahidini maana tunajua wengine kwa elimu ya darasani mmefikia hatua ya elimu nzuri lakini ndani ya chama chenu uwezo...
  14. G

    GE2010 Matokeo ya Urais kwa majimbo ya CHADEMA hayatolewi, kwa nini?

    Tatizo wewe ni mshabiki sio mchambuzi na mfatiliaji wa siasa ila unafata mkumbo majimbo kama hai JK amepata kura nyingi zaidi ya slaa,Nyamagana na ilemela tayari sasa tatizo la watanzania kama wewe unataka kujifanya wewe jaji,wewe daktari,wewe tume,wewe mhadhiri maana suala la kutangaza matokeo...
  15. G

    Nyumba na viwanja vinahitajika jijini mwanza

    nyumba zinahitajika za kupangisha ndugu yangu,viwanja au mashamba ndio ya kununua bei za kitanzania sio kwamba nyumba ni za kununua mdau ni za kupanga.
Back
Top Bottom