Kiwanja cha mradi kinauzwa-Buyuni 2000sqm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja cha mradi kinauzwa-Buyuni 2000sqm

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Vakwavwe, Aug 22, 2011.

 1. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  WanaJamvi,
  nauza kiwanja chenye ukubwa wa sqm 2000, kipo Buyuni eneo lililopimwa na wizara ya ardhi mwaka 2006/2007.
  kipo located sehemu nzuri sana as per the plan, kinalipiwa rent kila mwaka na kwa sasa kuna mradi mkubwa wa nyumba wa mfuko wa PPF unaendelea kwa kasi kubwa.

  Bei ni ya serikali iliyopo sasa ambayo ni TZS6000/sqM though maelewano yanaweza kuwepo kidogo kwa serious buyer.

  kwa anayehitaji au dalali niPM
   
 2. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu Buyuni ndio wapi?
   
 3. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ipo mbele ya Pugu Sec kuelekea Chanika ila ni b4 Chanika.
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  block gani mkuu?
   
 5. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  No 19 ndugu
   
 6. G

  Gokona Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu naomba kwa mawasiliano zaidi unitumie namba yako ya simu please   
 7. m

  mlimbwende Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kwahiyo sqm 2000 unauza sh ngapi?
   
 8. DullyM

  DullyM Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jamaa vipi! naona unauza shambas hapa lakini namba hamna! kama vipi nitupie namba nikushtue kama bado hujauza
  Shukran.
  Dully
   
 9. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  itakuwa 6000 X 2000 = 12,000,000/= pls call kwa maelewano zaidi(nimekuPM namba yangu)
   
 10. serio

  serio JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  mkuu,unauza zote kwa mtu mmoja?? nataka kitu kama 150sqM
   
 11. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ni bora uchukue eneo lote kwa kuwa hata ukitaka kajipande bado bei itakuwa ya kiwanja kizima.
   
 12. K

  KAMHABWA New Member

  #12
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bei haipoi hata? Embu fikiria hilo bwana!@​
   
 13. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  inaweza kupoa kidogo,tuwasiliane kwa simu nimekuPM mobile yangu
   
 14. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kuna ueme?
   
 15. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  namba yangu ni 0774306396 nipigie tuongee
   
 16. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  umeme bado, ila viwanja hivi vimepimwa na kwa kuwa kuna mradi mkubwa wa PPF naamini umeme utapelekwa mapema.
  plan ya Magufuri the then waziri wa ardhi ilikuwa kupeleka miundo mbinu yote mapema kabla watu hawajaanza kujenga.
  barabara zilichongwa vizuri na kila kiwanja kina barabara.
   
 17. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mi ninacho kikubwa kidogo kwa hichi hapa mezani, kina 2200sq mtr, bei yangu ni 7000 kwa sqmt moja, so ni 15,400,000. Nauza bei hii kwasababu nimeshakiendeleza, nimekisafisha vizuri, nimezungushia nguzo za zege kiwanja kizima, pia nimepanda michongoma iliyokwisha chipua na nimerekebisha barabara iliyoachwa hoi na wananchi. Kiko blok 22,kiwanja ni tambarare, kwa sasa nimepanda matikiti maji ili pasikae bure. Serious buyer anipm au apige namba 0714881500.

  Shukran
   
 18. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  M 8 hauchukui, nije nikupatie tarehe 27 September, 2011
   
 19. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Hapana mkuu, m8 bora niendelee kupalima matikiti, ntapata hiyo hela katika misimu miwili na kiwanja changu ntaendelea kuwa nacho. Jipange vizuri tutafanya tu biashara.
   
Loading...