Natafuta shule za kurudia masomo ya kidato cha nne dar es salaam na siyo centres. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta shule za kurudia masomo ya kidato cha nne dar es salaam na siyo centres.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gokona, Feb 15, 2012.

 1. G

  Gokona Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau naomba mniambie ni shule zipi Dar es salaam mwanafunzi anaetaka kurudia kidato cha nne anaweza kupata nafasi ya kuwa full time darasani.Angalizo sio bora shule bali ni shule bora.
   
 2. h

  hubby Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani we mwanaasha?......muulize baba riz1
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ngumu. Lazima atafanya mtihani kama private candidate. Siku hizi huwezi kuidanganya system
   
 4. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Oh yes,hii ndio JamiiForums.
   
 5. kikaragosi

  kikaragosi Senior Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nenda makongo au jitegemee ipo mzuka sana wanafull time
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nakushauri peleka mada yako kwenye jukwaa la elimu.usipotumia jukwaa la elimu kwa mtu kama wewe mwenye mada kama yako atumie nani?
   
Loading...