Nyumba na viwanja vinahitajika jijini mwanza

Gokona

Member
Feb 16, 2010
62
9
Nyumba ya vyumba viwili self contained,sebule,jiko zinzhitajika maeneo ya Bwiru,Kirumba,Nyamagana,Nyegezi,maeneo ya CBE Mwanza na viwanja na mashamba vinahitajika pia maeneo ya nyegezi,malimbe,nyakato,buhongwa,buswelu,kikubwa cha kuzingatia bei ni ya kitanzania nikiwa na maana wanaohitaji ni watanzania wa kawaida tena watumishi wa kada ya chini lakini wanauchu wa kujiwekea rasilimali kwa klipato kidogo wanachopata.
 
nyumba zinahitajika za kupangisha ndugu yangu,viwanja au mashamba ndio ya kununua bei za kitanzania sio kwamba nyumba ni za kununua mdau ni za kupanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom