Hali ya hatari kwa CHADEMA

Hali ya hatari kwa CHADEMA

Unajua USIONE VINAELEA VIMEUNDWA,LAKINI KIKUBWA BINADAMU HAKAMILIKI LAKINI UKWELI UNABAKI PALEPALE KUWA ZITO AMETUMIA MUDA MWINGI KUIJENGA CHADEMA NA NDIO LEO INAONEKANA KAMA CHAMA MAANA WASOMI WENGI NA WANAZUONI WALIINGIA KWA USHAWISHI WAKE LAKINI KUTOKANA NA UCHU WA MADARAKA, UKABILA,UKANDA NA UMIMI VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA NA VIBARAKA WAO AMBAO WANATAKA UMAARUFU HATA KWA KUVUNJA KATIBA NA KILA MTU NI SHAHIDI NDANI YA BUNGE.HAKUNA MTU ANAETAKA KUIVURUGA CHADEMA WAO NA UMIMI SASA LEMA KWA SABABU NI MKANDA KAMA VIONGOZI WAKE WAKUU NDIO ANAANZA KUTUMIKA KUMCHAFUA ZITO HAWATAWEZA KAMWE NA SISI TUNAONA.
 
Unajua USIONE VINAELEA VIMEUNDWA,LAKINI KIKUBWA BINADAMU HAKAMILIKI LAKINI UKWELI UNABAKI PALEPALE KUWA ZITO AMETUMIA MUDA MWINGI KUIJENGA CHADEMA NA NDIO LEO INAONEKANA KAMA CHAMA MAANA WASOMI WENGI NA WANAZUONI WALIINGIA KWA USHAWISHI WAKE LAKINI KUTOKANA NA UCHU WA MADARAKA, UKABILA,UKANDA NA UMIMI VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA NA VIBARAKA WAO AMBAO WANATAKA UMAARUFU HATA KWA KUVUNJA KATIBA NA KILA MTU NI SHAHIDI NDANI YA BUNGE.HAKUNA MTU ANAETAKA KUIVURUGA CHADEMA WAO NA UMIMI SASA LEMA KWA SABABU NI MKANDA KAMA VIONGOZI WAKE WAKUU NDIO ANAANZA KUTUMIKA KUMCHAFUA ZITO HAWATAWEZA KAMWE NA SISI TUNAONA

Nimeipenda hii analysis na CDM wanatakiwa wakubali mapungufu yao vinginevyo watazingizia kuwa wanahujumiwa. Huwezi kuwapuuza wabunge waliopitia machungu makubwa kama kina Zitto ukaendekeza vilaza na vijana wanaotafuta umaarufu wa haraka kama kina Lema halafu utegemee hicho chama kuwa imara. Enzi za siasa za kistaarabu na zinazosimamia hoja zinaonekana kufikia ukingoni na sehemu yake kuchukuliwa na siasa za majungu, kukabana shati, umimi na kutokuaminiana ambazo zinaonekana kwa kiasi kikubwa kuasisiwa na kina Lema.
 
Seems CDM imekuwa kwa kasi sana kuliko uwezo wa viongozi wake kuimanage na ndio maana wanahaha na migongano isiyo na tija inaongezeka kila kukicha. Na ndiyo matatizo ya mafanikio yajayo bila kutarajiwa.
 
Seems CDM imekuwa kwa kasi sana kuliko uwezo wa viongozi wake kuimanage na ndio maana wanahaha na migongano isiyo na tija inaongezeka kila kukicha. Na ndiyo matatizo ya mafanikio yajayo bila kutarajiwa.
Hili halina ubishi uwezo wa viongozi wake umefika kikomo hasa Mwenyekiti ila Slaa hata sisi ambao sio CDM tunakubali uwezo wake. Ni lazima Zitto na Mbowe waachie nafasi walizo nazo ili kunusuri meli inayotaka kuzama.(jivueni gamba)
 
Hao waliolipwa, wawe Clouds au wengine, ndio watazikwa na wananchi. Kumbuka walipogeuza gazeti la RAI kuwa la kutetea ufisadi. Mauzo yameshuka kama gazeti la UHURU! Pia, Chadema inaweza kufa leo au kesho lakini roho (spirit) ya mabadiliko ndani ya mioyo ya wa TZ haiwezi kufa.
 
Hao waliolipwa, wawe Clouds au wengine, ndio watazikwa na wananchi. Kumbuka walipogeuza gazeti la RAI kuwa la kutetea ufisadi. Mauzo yameshuka kama gazeti la UHURU! Pia, Chadema inaweza kufa leo au kesho lakini roho (spirit) ya mabadiliko ndani ya mioyo ya wa TZ haiwezi kufa.
Mabadiliko kwa binadamu yoyote ni jamabo la msingi ni hutokea naturally kwa hiyo uwepo wa CDM ama kutokuwepo hakuna athari yoyote.Kumbuka hii CDM imeshikwa Dr Slaa ,asipokuwepo cdm ni kama itakuwa imekufa kifo cha mende
 
Na kitakachofanya CDM kufa mapema kuliko ilivyotarajiwa ni kujisikia na pia kutokujipambanua kisera na kimkakati.Tatizo kubwa la hiki chama kimekumbatia matajiri wakubwa na kuwadharau wazalendo na watu wasioegemea siasa za ubinafsi kama kina Zitto.
Tatizo la hiki chama ni Zitto Na Mbowe umsipowaondo hiki chama hakitakuwepo 2015
 
Wana JF

Dalili zinaonyesha kuwa upo mkakati mkubwa umesukwa kuivuruga CHADEMA kwa mbinu mbalimbali. Kwa mfano ukiangalia kwa sasa mara baada ya CCM kumtosa EL na RA vyombo vya habari vya ITV na Redio one vimegeuza mwelekeo na sasa vinapenyeza kiaina habari mbaya zote zinaelekezwa kwa CHADEMA ili kuifanya CDM isikubalike na wananchi.

Upo mkakati unafanyika ili kuwavunja nguvu wabunge wa CHADEMA wakose kujiamini bungeni unaofanywa na Spika wa bunge na baadhi ya vyombo vya habari ikiwemo Radio one na ITV ili ionekene kuwa wabunge wa CHADEMA hawajui kanuni za bunge mfano Spika Makinda ameripotiwa kuwa Bunge la bajeti la mwaka huu itabidi lianze kwa wabunge kufundishwa kanuni kwani eti wabunge wengi hasa wa upinzani ni wapya hawajui kanuni wanaropoka hovyo bungeni hii si kweli hata kidogo wote tunafuatilia bunge na tuna macho ni ujinga kutufanya hatujui nani hafuati kanuni. Mtaona pia yale yaliozungumzwa wiki iliyopita na Katibu wa Bunge ilikuwa moja ya mbinu za mkakati huo unaoratibiwa kistadi isivyorahisi kugundulika na mwanachi wa kawaida.

Mkakakati mwingine ni kuwatumia wabunge mamluki waliondani ya CHADEMA kuanzisha vurugu kwa kutafuta hoja za kuvuruga chama.

Nilitoa angalizo mapema kuwa CCM sasa watatumia sana wale waandishi mahiri ambao wanaaminiwa na wananchi kuivuruga CHADEMA.

CHADEMA isimame imara kwani ikikubali kuvurugwa kama vyama vingine vilivyosambaratishwa na CCM itakuwa ndio mwisho wa imani ya wananchi wa nchi hii kwa vyama vya upinzani. Kumbukeni CHADEMA kilivyosaidia watu wengi kuamka na kujua haki zao na kimefanya CCM kujikuta kiko uchi na wizi wa mali za uuma umepungia. CHONDECHONDE kuweni makini. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU ILINDE CHADEMA.
Kama sikosei Bwana Lema aliwahi kuwaambia wanafunzi wa chuo kimoja wawe wanafungua JF ili waweze kujua ni jinsi gani dunia inavyokwenda. Nasikitika ya kwamba kabla ya huu ujumbe wa Bw.Lema ni watu wachache sana na waliokuwa upande mmoja wa habari ndio waliokuwa wanacheki JF. Kuanzia sasa sisi ambao tulikuwa upande wa pili wa habari nasi tutaanza kuweka nondo zetu rasmi kwenye hili jamvi na ndio utakuwa mwisho wa kutumia hili jamvi kama propoganda tool ya CDM.
 
Mlio2mwa na bibi yenu "msekwa" kamwambieni amechelewa, "ngoma" ishatambaa na ipo kwenye "reli"
 
sijasoma maoni ya wote katika hii thread lakini angalizo langu ni hili:-

Kama CCM wataamua kuivuruga chadema wafahamu maisha yao na watoto wao katika siku zijazo ni mabaya sana na huenda wakaishi uhamishoni kwa aibu kama walivyo watoto wa akina mohamed siad baleh na wengine wa aina hiyo. uasi/upinzani mbaya kabisa baada ya ule wa kidini ni ule wa watu wanaopinga bila kufuata chama chochote cha siasa. uasi huu ni mbaya kwa sababu everybody has a say and probably some are within the group rulers!!
kwa hivo nawasihi CCM acheni mtindo wa kuvivuruga vyama kwani ni mtindo hatari sana kuliko hata uasi wa jeshi!!
 
Seems CDM imekuwa kwa kasi sana kuliko uwezo wa viongozi wake kuimanage na ndio maana wanahaha na migongano isiyo na tija inaongezeka kila kukicha. Na ndiyo matatizo ya mafanikio yajayo bila kutarajiwa.

Ndio maana hata wameshindwa kutengeza kambi pinzani yenye vichwa (waziri vivuli wa kizushi zushi na majungu jungu kama wizara ya JK ya kina mama Sofia Simba).

Pia naomba wenye kumbukumbu wanikumbushe mjadala wa JF ni ya Chadema uliishia wapi, kwa sababu ninachoendelea kuona humu JF ni utetezi wa hali ya juu wa chochote kibaya kinachoihusu Chadema.

Halafu kama alivyo Lema (Ngumi mkononi), wachangiaji wengi walio upande wa CDM matusi yako nje nje hasa wanapoguswa kwenye hoja. Nimewahi ona CV kibao za viongozi wetu humu na wengine wengi wasiopendwa na CDM, lakini sijawahi ona CV ya BOC wetu (Mwenyekiti), nina wasiwasi na uwezo wake wa kiuongozi.

NB: CDM ikikuchukia basi ujue JF itakuchukia, Mwanahalisi watakuchukia, Tanzania Daima watakuchukia. I am still thinking whether CDM fits to take over this country or they are going to suck us.

Pia naombeni nikumbushwe kwa nini Zitto hakuachwa agombee umwenyekiti ashindwe kidemokrasia kama jina la chama (Chama Cha Demokrasia na Maendeleo lilivyo): WE ARE ADVOCATING WHAT WE ARE NOT.

Mbowe anajua hapendwi na wana CDM na for sure leo yeyote atakayegombea umwenyekiti vs Mbowe atamshinda Mbowe, hivyo anajaribu kutumia siasa za vitisho.
 
Huu upuuzi mtupu! Cdm haiwezi kuvurugwa na wapumbavu wa CCM kwani wao hawani upeo wowote kwa sasa, nani mwenye uwezo hou? Kwani wajinga wale wa cloudsfm ndio wameshika akili za watanzania? Atakayevurugwa ni mpuuzi yeye binafsi sio sie wenye uelewa. hata hii mada pia haina mantiki zaidi ya uoga usio na maana. Mimi ni mpigania haki wa kweli tena siyumbishwi eti kisa spika kasema hili au coulds wamezusha lile, ninajua ninachotaka full stop. "You can cheat some poeple some time...but you cant cheat all the people all the time' CCm inakufa haiwezi kuacha kutapatapa

Mbona hata wewe inaonyesha umekwisha vurugwa,maake uliyobwabwaja hapa utafikiri steam za kuranduka zimeishakupanda.
 
Tatizo la CDM ni lao wasizingizie CCM kwani pale kuna umwinyi;kuna wanaojionna wao ndo wenyewe na mvurugaji wa CDM ni MBW kwani anafanya udikteta na zito anaimamia haki htaki kuburuzwa.MBW anajenga MTANDAO wakati anajua mtandao umeshaua CCM utaiua CDM pia

CCM haijafa Mkuu,ndo kwanza imeshika hatamu!Mnadai Zitto anatumiwa na CCM sasa atatumiwaje na kitu kilicho kufa?kama mnalia na CCM basi ujue ndiyo kwanza imeimalika na inawatafuna kwa kwenda mbele.

Note:50 years survival not an easy path,lazima kuna style yake ya kushughulika na nyinyi kama ilivyokuwa NCCR,CUF and YOU now.
 
la!!!!!!!!! mnasema mimi nina majungu,kwa kusema ukweli ee...???? poa endeleeni kuwalea hao akina mbowe ili watanzania one day waitupilie mbali issue ya vyama vya upinzani.....................hao ndio walikuwa wakipinga kununua mitambo chakavu ya dowans...shangaa leo slaa anakuja na hoja ya kununua magari ya mitumba..........poleni wapiganaji wa kweli najua hamtaweza sasa humo shimoni mwa nyoka,ila mtatambulika baadaye......na ninawaomba msihame wala kujitenga cdm,mkifanya hivyo,mtakuwa mmetenda dhambi kubwa sana,piganeni humohumo mpaka kieleweke,wangwe alipokufa, wakapumua haaaaaaaaa!!!!!!mara zitto akaibuka na kuhoji, wakasema hooooooooo!!!!!!!kafulila wakamwita sisimizi,aloooo mnacheza na maisha ya watu nyiee..wewe mbowe anagalia sana...watz wakikugundua utajuta na kukimbilia ulaya na ruzuku yetu huendi nayo.
 
Back
Top Bottom