Recent content by gervase

  1. G

    Tunapofikia kuajili Polisi wengi kuliko Walimu (Serikali yajiandaa kwa shari au vp?)

    Heri yenu mlioko mjini. Huku vijijini jamani polisi anaogopwa kuliko mtu yeyote, (including J.K). Polisi wamefikia hatua ya kuwakamata waendesha pikipiki na kuwapekuwa mifukoni kwa nguvu ili mradi wapate hela. Serikali imeelekea I.C.U? Jamani, natamani ningejua kuroga nikawafanyizia hawa polisi.
  2. G

    Mkuchika- umeme umenifanyisha zoezi

    Tupo ktk mkutano wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania, Arusha. Umeme umekatika, waziri mkuchika amesimama dakika 10 jukwaani akisubiri umeme. Wamewasha generata sasa anaendelea. Amesema "umeme umenipa fursa ya kufanya zoezi la kusema". Nawasilisha.
  3. G

    Kumbe polisi nao majambazi?!

    Nimefanya ka mini-research barabarani nikasafiri kutoka ngara kupitia kahama, nzega, singida hadi Arusha. Katika vituo vyingi vya polisi (about 75%)ya vyote, dreva na kondakta mmojawapo anatoka nje kwenda nyuma ya gari kumrekebishia trafiki au polisi. Mwisho wa safari nilimuuliza ameachia ngapi...
  4. G

    Job resign

    Tusidanganyanye wakuu. Ni lazima pia tupime tuone uhusiano uliopo kati ya cost of investment na benefit (COST- BENEFIT ANALYISIS). Jamaa kagharimika muda na pesa kibao kuitafuta hiyo degree, then saa hz analipwa hela ambayo kwa mwaka ni sawa na ada aliyokuwa analipa chuoni(kumbuka loan board...
  5. G

    Watumishi wa umma, sasa RUSHWA ruksa, toa huduma baada ya kupewa rushwa

    Ee bwana ee, kuishi tz hii ni kwa mbinu. Rushwa ni 1 wapo ya mbinu. Emu nadisheni hata hizo mali mlizopewa kusimamia, bora siku ipite.
  6. G

    Jamaa wameshutka mapemaaaaa, shauri yenu Tukta

    Wabunge wetu wamegutuka kufirisika kwa tanganyika ya leo, wakaona wale chao mapema. Wamegundua katiba mpya itawamwaga wengi (2015). Tukta mnapiga kelele wakati na nyie serikali imewapa ofisi?. We ulisha sikia majaji, wanajeshi na mahakimu wakilia lia? Bora mteja akamuliwe damu ili mkono...
  7. G

    Flash disk kama hii inatibika.

    Ni flash disk (G:) ya 4 GB. Files na folder chache zilizomo (saved documents) zinafunguka, nyingine nyingi hazifunguki. However, huwezi ku delete chochote, huwezi kuiformat, haipokei faili lolote. Response ktk hayo ni ...this disk is write protected. Haina kale ka batton ka pembeni ka...
  8. G

    speed governor ya kupunguza au kuacha kupenda ulifungiwa?

    Dr. Chichi, dah! Kumbe mapenzi ya watoto wadogo hayana cha huyu ni dada au shangazi?. Usinikumbushe, najua hata dada zangu wanaikumbuka hiyo michezo ya kujificha na kupeana zawadi.
  9. G

    Numekula mtu (dada) na mdogo wake

    Endelea kula ugali (X) na mboga (ney) . Hakuna noma.
  10. G

    speed governor ya kupunguza au kuacha kupenda ulifungiwa?

    Ulianza lini kupenda? Mi la tano nilimwandikia barua msichana nikamwambia ntampenda mpaka ziwa victoria likauke. Akanipeleka kwa ticha (akampa na hiyo barua). Kila mwalimu aliyekuwa anasoma hiyo letter ananicheka sana mpaka naona aibu. Kisha ticha akanichalaza fito kama 50. Ni miaka 20...
  11. G

    Nikimwona mpenzi wa zamani roho inashtuka, hii inakuweje

    Kwa bahati mbaya hatukubahatika kuoana, alienda kusomea mbali akapitia huko huko akaolewa. Nami muda ulipofika nikaoa. Kila ninapomfikiria au kumwona nahisi mshtuko. Ana watoto 3, nina 2. Mke wangu hatuna tatizo. Hii roho niifunge vipi imsahau huyu mke wa mtu? Hii kitu...hii
  12. G

    Study materials kwa ajili ya kujisomea. Msaada wa free downloadable journals and books.

    Wadau wa elimu natumaini mko sawa. Mwenzenu niko ktk field ya elimu. Najaribu kujiendeleza kwa njia ya masafa. Nasoma M. Ed (Adm, Planning & policy Studies- open university) Material ya 'education policy, education planning, educational administration, economics of edn, na mengine yanayohusu...
  13. G

    Inasikitisha askari polisi kuendesha pikipiki bila helmet au kumpakia abiria bila kuvaa helmet

    Don't tell me. Hawa jamaa bora wangekuwa wanakukamata na kukutoza faini halali. Wao ni rushwa wazi wazi. Ukienda takukuru ndo walishatangulia. Utajikuta kwenye kesi eti we mzushi. Nchi hii!
  14. G

    Wasomi wa Tanzania poleni

    Sina la kuwalaumu wasomi wa tanzania, ila hamsaidii kuiletea maendeleo nchi yetu. Hivi wana jf mnajua kuwa sifa ya kuwa mwl mkuu ni diploma, au kuwa mkuu wa shule ni degree 1 au zaidi? Lkn mratibu elm kata ni bosi regardless elm yake ya ualm daraja la 3. Wana jf mnaamini wakurugenzi wa halmshr...
  15. G

    Laptop hii sasa kero, msaada please.

    Laptop yangu inafunguka kama kawaida. Ikifikia wakati fulani, keyboard inaji lock. Mouse haifanyi kazi, pointer ina simama, It means siwezi endelea na kazi yoyote mpaka kuboot. Nimefuta almost doc zote ikawa na free space kwenye HD bado inasumbua! Mbaya niki boot unsaved doc zote zinapotea...
Back
Top Bottom