Numekula mtu (dada) na mdogo wake

Pole kwa yalokukuta sana, ila umefanya makosa makubwa kulala na Ney, wakati ulikuwa unampenda mdogo mtu. Hiyo hali itaendelea kukusuta for the rest of yuor life kwa sababu sio mila zetu za kitanzania.

Inabidi ukae chini na hiyo familia ya mchumba wako na uombe msamaha kwa yaliyotokea yote na utangaze nia ya kutaka kumuoa huyo X. Na unatakiwa umaanishe ya kuwa unataka kumuoa kwa kujanga familia.

Pia jaribu kukaa mbali na huyo Ney, sababu anaweza kukuzushia jambo lolote mkiwa ndoani na X.
 
Halafu hii mbona cha mdori! Mimi nina skulimeti wangu alikula mama na mwanae. Jamaa amshukuru sana mama mtu kwani aliamua tu kuyamalizia nyumbani bila kuyapeleka polisi maana jamaa alichokifanya kilikuwa ni statutory rape na alikuwa anachezea mvua si chini ya tano kama angepatikana na hatia.

And here is the kicker: jamaa kamuoa huyo mama mtu.
 
My dear KiLaZA, tutakushauri juu ya nini........ for sijaona kwakweli!! Tatizo lako we ni mbishi na hautaki kuelewa, embu yachambue hayo unayoyaita matusi! Natumai utakuwa umejifunza kitu cha msingi, hapa sio ushauri tu na mafunzo pia utayapata (tumia hili la leo as ur best lesson). Unaposema umekula dada na mdogo wake maanake nini? Unaulizwa na kukosolewa, we unajibu eti ni heading tu kama ya kwenye magazeti, unavuta wateja......what is that?? Haya, basi jitahidi na wewe kuonyesha usaidiwe upande gani, yaani ndo kwanza michano mterezo mwanzo mwisho! Ina maana hujui wahitaji nini??? If you really need help, rudi kajirekebishe then go by another thread!! By the way, how do you take that act of yours, nafsi yako inakichukuliaje hicho kitendo ulokifanya kwa ndugu wawili?

funzo, siku nyingine sitakuwa mhusika mkuu kwenye story.
 
Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana na dada yake X anaitwa Ney ambaye ni muongeaji sana na anapenda kudhurura mtaani. Nilikuwa nikimdadisi Ney kuhusu mdogo wake lakni halikuwa haonyeshi ushirikiano. Siku moja Ney akaniambia nitafute sehemu yenye faragha anipe mkasa wote kuhuse X, nikakubali tukakutana, tulipiga story nyingi sana lakini Ney hakutaka katakata kunipa story za X, maongezi yaliendelea huku tukishushia na kitu ya Serengeti baridi. Hatimaye maji yakazidi unga. Tukavunja Amri ya Sita (mimi na Ney).
Sikufurahia kile kilichotokea ila juhudi zangu za kumnasa X ziliendele, hatimaye nikapata namba ya X kupitia na mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya muda nikamuweka sawa akaelewa somo na pia nikampa mkasa wote kati yangu na dada yake. Alionyesha kusikitika ila ndo alikuwa ameshakolea kwangu.
Tatizo :Dada mtu (Ney) amekuwa akitoa maneno ya ajabu na kejeli kibao kwa mdogo wake mpaka anashinda akilia, anasema eti mimi bado ninamahusiano naye, pia vitisho kuwa kama tukioana yeye atavua chupi kanisani na kuturushia.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje? Kichwa kinauma kila siku.
Hapo kishanuka! Kama house girl analipa nae mpitie, then wabwage wote kwa ujumla usepe!
 
Halafu vinyozi wengi ni ma.lay.a sana, hamna tofauti na maDJ wa vigodolo.
 
utaanza mtu na dada, mara mama, na cousins. Ukifikia hatua hiyo roho ya kikamerun huja kwa kasi sana, na unaanza kuwatafuta kaka zake. Hao kaka kazi yao huwa ni ya ungariba, sasa kama unataka kukutana na ngariba ukubwani we jaribu huo mchezo.

Ni bora kugombanisha watu wa nje kuliko wa ndani, wivu unakuja bila mhusika kujijua na waweza fanya maasi mabaya, abormination kuwafanyia wa nyumba moja hayo

Kongosho.......napata wasi wasi hapo......kuna ulazima kuwa yote hayo yatatokea ama umewazia tu? I mean kuna mfano labda umeshawahigi kuonaga...lol
 
Naona humu watu wengi wanajifanya malaika. Wakati najua wengi wazinzi tu bora hata CtKiLaza aliyeamua kuwa mkweli. Bwana wewe oa huyo mdogo wake x. Ndoa na upendo havina formula. Achana na hao wachafuzi wanaojifanya malaika nyambafu zao.
 
Shetwani @work .................. funga na kusali mkuu usijivunie uzinzi!!!!
 
Naona humu watu wengi wanajifanya malaika. Wakati najua wengi wazinzi tu bora hata CtKiLaza aliyeamua kuwa mkweli. Bwana wewe oa huyo mdogo wake x. Ndoa na upendo havina formula. Achana na hao wachafuzi wanaojifanya malaika nyambafu zao.

mi kufunguka hapa imekuwa nongwa.
 
sasa hapa unataka ushauri au unapenda watu wakuone we kidume ???? huo na unachoendelea kukifanya ni upuuzi heshima iko wapi:????
 
Back
Top Bottom