Study materials kwa ajili ya kujisomea. Msaada wa free downloadable journals and books. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Study materials kwa ajili ya kujisomea. Msaada wa free downloadable journals and books.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by gervase, Nov 17, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau wa elimu natumaini mko sawa. Mwenzenu niko ktk field ya elimu. Najaribu kujiendeleza kwa njia ya masafa. Nasoma M. Ed (Adm, Planning & policy Studies- open university) Material ya 'education policy, education planning, educational administration, economics of edn, na mengine yanayohusu education yananipa taabu. Kwa vile nina ka lap top na moderm mkinisaidia web address za kupata hayo material ntashukuru sana. Msaada please. Am a t'cha working in remote areas (mazingira magumu)
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Ebokee.org ni free na wana vitabu vingi sana, njia nyingine ni kutype search bar jina la kitabu likiishia na neno pdf eg " kusadikika pdf"
   
 3. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu hiyo web uliyotoa haieleweki
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  sry mkuu ni Ebookee.org nilisahau ka "o" kamoja
   
Loading...