Job resign

we acha kazi uone kama hautakuwa ombaomba, mwenzio naitamani angalau tu nipate hako kaujuz cjapata, we endelea kutafuta nyingine huku ukiendelea piga hiyo
 
we acha kazi uone kama hautakuwa ombaomba, mwenzio naitamani angalau tu nipate hako kaujuz cjapata, we endelea kutafuta nyingine huku ukiendelea piga hiyo
 
kwa kweli naielewa hali yako,niliwah kufanya kazi kwa wahindi nikawa nalipwa 350,000 zaidi ya kwako,lakini ndugu yangu
niliresign mwenyewe kabla sijapata kazi nyingine ,kwa karaha ya mikazi na matusi yaliyokuwepo kwenye hiyo kampuni.
 
kwa kweli naielewa hali yako, niliwah kufanya kazi kwa kampuni moja ya kihindi nilikuwa nalipwa 350,000 zaidi ya kwako,lakini
yalinishinda niliresign kabla sijapata kazi,matusi ya hiyo kampuni na mikazi ya kutosha,kwanza wakikuajili wanakwambia mda wa kuingia kazini ni saa mbili,bt mda wa kutoka haujulikani na hauandikwi kwenye contract,kwa wenzangu mnaosema mnazitafuta hizo nikiwapeleka huko kesho hamrudi,coz hiyo kampuni wafanya kazi wanafanya kazi kwa wiki mbili au mwezi then wakipokea mshahara wao wanatokomea.
 
Naunga mkono, Hawawezi kukufanyisha kazi kama mtumwa afu malipo kiduchu. At least ingekuwa laki 5 kwenda juu.
 
Sikushauri uache, ila tafuta tu kimya kimya, ukipata hao waajiri wapya wakikuuliza uko tayari kuanza kazi lini, waambie kesho ama baada ya siku mbili. Hao wahindi hata usiwaage, tena wasubirie mwisho wa mwezi ukishapta kilo mbili yako ndo uingie mbele. Niliwahi kufanya nao kazi, kwakweli ni manyanyaso tu na makelele, na mimi nilikuwa fresh kutoka chuo na nilikuwa nalipwa laki na nusu kwa mwezi, bahati ilikuwa yangu kwani mwisho wa mwezi nilipigiwa simu na kampuni nyengine wakaniambia nikaanze jumatatu, siku wananipigia ilikuwa ijumaa, jumamosi haikuwa siku ya kazi (ilikuwa sikukuu), jumatatu hawakuniona mpaka leo. Hata sasa nikiitwa interview nikiwakuta hawa ponjoro basi hamu ya kufanya nao kazi huniisha pale pale hata kama watanilipa milioni kumi. tafuta taratibu na kwa haraka kijana utapata tu kazi
 
wengi hawajui mazingira ya hizo kazi unakua kama punda...mi niliacha kabla ya kufikiria. kama ipo ipo tu piga chini utapata nyingine. hawa watu ni wadhalilishaji sana.
 
Dear Sir/ Madam,

RE: RESIGNATION FROM MY POST-
The heading above is concerned.
Please accept this as formal notice of my resignation from the position of …. at this organization, effective one month from the date of this letter.
After much consideration I have decided to accept another job offer. I feel it is time for a new challenge and this is a good opportunity to further my career goals.
Working for this organization has been a wonderful experience. I could not ask for a better group of colleagues. I have grown in many ways here and will always treasure the opportunities provided for me by the organization.
I have enjoyed my time working for this organization and appreciate the support the organization has shown me during my time here. I would like to thank you in particular for all your advice and support. I hope that we will stay in touch as I begin this new chapter in my career.
Please know that I am available to help in any way that will make my departure as smooth as possible for the company. I want to wish everyone the best of luck and success for the future.
Sincerely,
 
Acha hiyo kazi bwana kazi gani ya manyanyaso hivyo ukiacha utapata muda wa kutafuta kazi nyingine. Na kama utakosa kabisa ni PM
 
....umesema ni graduate wa computer science, lakini unaweza kuwa graduate wa evening class au wa certificate (heading yako ya job resign nadhani ulimaanisha job resignation...)

Kama walivyosema wengine, kwanza tafuta wakati hiyo unayo lakini pia cha msingi ni kuhakikisha unasoma na kuelewa kila kitu unapopewa kazi. Kama ulisaini kukubali kufanya kazi bila overtime au bila kutaja masaa kwa siku hilo ni tatizo lako. Waajiri wajanja pia hutumia kile kipengele cha any other assigned duties kujikinga.....!
 
Tusidanganyanye wakuu. Ni lazima pia tupime tuone uhusiano uliopo kati ya cost of investment na benefit (COST- BENEFIT ANALYISIS). Jamaa kagharimika muda na pesa kibao kuitafuta hiyo degree, then saa hz analipwa hela ambayo kwa mwaka ni sawa na ada aliyokuwa analipa chuoni(kumbuka loan board wanamdai). What type of business is that? Ebu brother, assume you have graduated today, tafuta the better paying job au jiajiri, achana na hao wa-maize. Ushauri wangu ni huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom