Flash disk kama hii inatibika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flash disk kama hii inatibika.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by gervase, Nov 28, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni flash disk (G:) ya 4 GB. Files na folder chache zilizomo (saved documents) zinafunguka, nyingine nyingi hazifunguki. However, huwezi ku delete chochote, huwezi kuiformat, haipokei faili lolote. Response ktk hayo ni ...this disk is write protected. Haina kale ka batton ka pembeni ka protection. Inatibikaje hii?
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Jaribu kutumia hii tool jina lake inaitwa Unlocker jaribu ku delete hayo mafaili kwa kutumia hii tool

  [TABLE]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD]Unlocker 1.9.1

  Unlocker - 783KB (Freeware)[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  If you've ever been unable to delete a file in Windows, and can't figure out what program's using it, Unlocker is the solution. Have you ever seen these Windows error messages?
  • Cannot delete folder: It is being used by another person or program
  • Cannot delete file: Access is denied
  • There has been a sharing violation.
  • The source or destination file may be in use.
  • The file is in use by another program or user.
  • Make sure the disk is not full or write-protected and that the file is not currently in use.
  Unlocker can help! Simply right-click the folder or file and select Unlocker. If the folder or file is locked, a window listing of lockers will appear. Simply click Unlock All and you are done!

  Ku download bonyeza hapa Download Unlocker 1.9.1 - FileHippo.com

  Jaribu kisha unipe feedback je umefanikiwa?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbona hiyo unlocker wamesema kwenye window au inakuwa pamoja na flash pia sijaelewa vizuri..
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  (G:) hilo tatizo hata mimi nilikuwa nalo nikaitupa hiyo flash (G:)
   
 5. M

  Mringo JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ..............................
  Thanks for nice tools ingawaje bado sijajaribu kutumia kwani mimi mwenyewe nina tatiza kama la muwakilisha mada. Lakini mimi tatizo langu lipo-beyond kidogo kwani nahisi flash disc yangu ina virus, kwa hiyo nikijaribu kuscan inakamata virusi wengi lakini hawadeletiki kwani inaniambia protected...So nitumie njia gani ili niweze kufungua ndani nifanye kama ulivyoelekeza ktk hii tool bila virus kuathiri computer yangu??
   
Loading...