William,Pole,,,.Mi nipo Dodoma Na nina zifahamu nyumba nyingi tuh za wageni,kama ulishindwa kutafuta nyumba za wageni ,usisingizie gharama kubwa,hilo halipo Mkuu,Hivi unavyo kuwa Mbunge hutakiwi kuishi Maisha ya Mtanzania anavyo ishi?Serikali ilijenga nyumba Miatatu eneo la kisasa ili wabunge...