Umewahi kujiuliza baada ya miaka mitano tangu sasa nchi itakuaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi kujiuliza baada ya miaka mitano tangu sasa nchi itakuaje?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Fund, Mar 22, 2012.

 1. Fund

  Fund Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF,mwenzenu nimetafakari nimekosa jibu,maana vyuo ni vingi mno na wengi wanazidi kusoma,sasa wakimaliza hizo elimu,wapi watakwenda?Maana zamani vyo vilikuw avinahesabika ,,,
   
Loading...