Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

- Europe ukishitakiwa na kesi ya rape, jaji huwa anataka kujua jinsi victim alivyokuwa amevaa kwanza, kama hakuvaa inavyotakiwa unaanchiwa kwamba aliyataka, sasa mbunge akipewa rushwa inatakiwa tujiulize mazingara yakoje?

William.

Kwa hiyo mheshimiwa Willy wakati Dingi anapokea mihela ya kampeni mwaka 2000 unataka kusema ni kwa sababu ya Mazingira?

Ama hawa jamaa walioshinikiza mikataba ya RICHMOND na kulazimika kujiuzuru nayo ni kwa sababu hawalipwi vizuri?

Nilishasema wewe William ni mzembe wa kufikiria kama ilivyo kwa wenzio wengi ndani ya CCM. Tatizo la hii nchi ni mfumo na wala sio hizo posho unazotaka kutuaminisha.

Leo utaongeza posho kwa kuwa wabunge unataka wakae kwenye hotel ya nyota 5, kesho utakuja na magari, kesho utakuja na watoto wa wabunge shule wanazosoma haziko kwenye hadhi ya yao.

Ningependa kusikia angalau ukisema barabara za mji wa Dodoma halingani na hadhi ya Makao makuu ya Serikali.
 
- Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?

William.

Hapo ndipo ninatofautiana na wewe........from this point i learnt from you that binadamu wote si sawa,this is contradiction Mr.Willium.
 
Le Mutuz!

I think the Real question to ask ourselves is how come a country which is the third largest producer of Gold in the world ( discounting diamond production ) has no social welfare and one of the lowest GDP in the world.
 
- Heshima mbele JF, hivi karibuni nilikuwa Dodoma hili la Wabunge na posho limenishitua sana ukizingatia kwamba nilikuwa mmoja wa wananchi waliopinga sana Wabunge kuongezewa posho, there I was in Dodoma, hotel ya hadhi ya wabunge ni Dodoma hotel, bei ya chini sana kwa chumba ni Sh. 65,000 kwa siku; ukienda mtaani ni sh. 50,000 kwa siku, I mean bado wabunge hawajala na ku-deal na wananchi kutoka majimbo yao ambao humiminika kila siku Wabunge wanapokuwa Dodoma, kuwalilia shida za binafsi.

- Serikali itafute suluhisho la hili tatizo kwa sababu ni tatizo, tunaawaacha wabunge in an open field ya kupokea rushwa, nimeona Wabunge wengine wakiishi sehemu ambazo ni very dangerous kwa kiongozi wa taifa tunayemtegemea kuishi, halafu unakuta magazeti yakifurahia mbunge apigwa mapanga, mbunge aibiwa, I mean as taifa we have to do something, nchi nyingi Duniani, infact hata Zambia tu Serikali imewajengea Special Hostel wabunge wake kwenye maeneo ya viwanja vya bunge kupunguza hili tatizo la posho, I mean kwa hali niliyoiona hili tatizo halikwepeki ni lazima lizungumzike.

- Nilichojifunza kule Dodoma ni kwamba wengi wa Wabunge waliokuwa wanapinga posho ni wale wenye uwezo mkubwa sana kipesa kwamba hata hawahitaji hiyo posho ya sh. 70,000 kwa siku maana kwao ni peanuts na ni wachache sana, ninasema hii hoja ijadiliwe tena, tunawaweka wabunge wengi pagumu sana kimaishana hata kutuongoza.

William John Samwel Malecela @DSM City!

Nakushauri uendelee kufanya utafiti kwa maisha ya wafanyakazi,wakulima na wengine wa kada zote mjini kwa vijijini halafu ndipo ufanye camparison analysis.utuambiea kama kweli wabunge wanastahili basing on your analysis.
Halafu vilevile fanya utafiti juu mfumo wa utoaji posho kwa hapa kwetu TZ halafu uone kama upinzani walikuwa na hoja.Kumbuka kuwa upinzani na wananchi walikuwa wanapinga mfumo wa utoaji wa posho kwamba sio mzuri,why ni kwa wabunge tu na watu wachache wenye nafasi?
 
- Mkuu next time nenda usome historia ya siasa, ni kwamba once kuna hoja tata kwenye taifa ni vigumu sana kuizima, tizama Muungano, tizama katiba, tizama wagombea binafsi,

- Huwezi zima a valid hoja labda temporary tu, and then itakuja kukuuumiza ina a big way na utakubali in ahrd way, bora kuijadili mapema, yaani sasa hii hoja ni valid na ianatakiwa kujadiliwa tena, kwa sababu haiendi kokote!

William.
na hoja ya mishahara ya waalimu, polisi ,madaktari ,wanajeshi haiendi kokote pia!
 
- Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?

William.

Wakati wanagombea huwa wanajua hali halisi ya maisha ya waTZ na huwa wanatoka miongoni mwetu, na lengo ni kutumikia taifa, isitoshe ukifuatilia background za wengi wao walikulia vijijini. Hivyo sioni tatizo kwa aliyejitoa kwa dhati kuwatumikia wananchi na nchi yake, wasioweza wanaweza kujitoa tu, na tunajua watakao baki kwa wingi ni wapinzani hivyo bunge litakua na tija.
 
William,Pole,,,.Mi nipo Dodoma Na nina zifahamu nyumba nyingi tuh za wageni,kama ulishindwa kutafuta nyumba za wageni ,usisingizie gharama kubwa,hilo halipo Mkuu,Hivi unavyo kuwa Mbunge hutakiwi kuishi Maisha ya Mtanzania anavyo ishi?Serikali ilijenga nyumba Miatatu eneo la kisasa ili wabunge wawe wanakuja na familia zao ila wabaunge wakazikataa wakasema ni porini,Leo una watetea Mkuu,nenda ukajipange upya,peasa wanayo pata nyingi,sema tatizo ni vipaumbele,Kama watashindwa kuwa na vipaumbele kabla ya kupata pesa watashindwa namna ya kuendesha maisha yao.
 
nimefika DODOMA leo nipo hapa welcome Lodge room ni elfu 25, naambiwa na muhudumu wabunge kibao hulala hapa, na nimeamini baada ya kuona kitabu cha maudhurio! pia kwa taharifa yako ni wabunge wachache sana ufikia Dodoma Hotel, wengi uishi vichochoroni ili waendelee na mambo yao ya binafsi uzinzi ukiwemo pale Dodoma Hawawezi kufanya hayo sababu pako official zaidi na a lot of maafisa usalama
 
.......ahaaaaa!!......kumbe bado kuna nafasi mbili(2) zilizosalia kwa JK za wabunge wa kuteuliwa: william endelea na hoja yako unaweza kufanikiwa bwana.
 
Mkuu hizo sheria unazozisema kazi kubwa sana inafanywa na wataalamu na wala sio wabunge, yaani wao ni kuzipitisha tu tena ni wachache sana wanaozipitia kabla hawajazipitisha. Tumeshuhudia mara nyingi kwenye michango ya kujadili sheria wanaochangia ni wabunge wachache wengi wapo pale kusindikiza wengine. Sasa leo hii eti waongezewe posho kwa sababu wanatunga sheria...hebu tuache unafiki, wao kama ni wazalendo na wako pale kuwatumikia wananchi basi wasitake makubwa waangalie hali za wananchi zikoje kwanza.
 
- Heshima mbele JF, hivi karibuni nilikuwa Dodoma hili la Wabunge na posho limenishitua sana ukizingatia kwamba nilikuwa mmoja wa wananchi waliopinga sana Wabunge kuongezewa posho, there I was in Dodoma, hotel ya hadhi ya wabunge ni Dodoma hotel, bei ya chini sana kwa chumba ni Sh. 65,000 kwa siku; ukienda mtaani ni sh. 50,000 kwa siku, I mean bado wabunge hawajala na ku-deal na wananchi kutoka majimbo yao ambao humiminika kila siku Wabunge wanapokuwa Dodoma, kuwalilia shida za binafsi.

- Serikali itafute suluhisho la hili tatizo kwa sababu ni tatizo, tunaawaacha wabunge in an open field ya kupokea rushwa, nimeona Wabunge wengine wakiishi sehemu ambazo ni very dangerous kwa kiongozi wa taifa tunayemtegemea kuishi, halafu unakuta magazeti yakifurahia mbunge apigwa mapanga, mbunge aibiwa, I mean as taifa we have to do something, nchi nyingi Duniani, infact hata Zambia tu Serikali imewajengea Special Hostel wabunge wake kwenye maeneo ya viwanja vya bunge kupunguza hili tatizo la posho, I mean kwa hali niliyoiona hili tatizo halikwepeki ni lazima lizungumzike.

- Nilichojifunza kule Dodoma ni kwamba wengi wa Wabunge waliokuwa wanapinga posho ni wale wenye uwezo mkubwa sana kipesa kwamba hata hawahitaji hiyo posho ya sh. 70,000 kwa siku maana kwao ni peanuts na ni wachache sana, ninasema hii hoja ijadiliwe tena, tunawaweka wabunge wengi pagumu sana kimaishana hata kutuongoza.

William John Samwel Malecela @DSM City!
siasa za maji taka ili kuwafurahisha wabunge wa ccm....damn idiot....hivi ile safari ya kutembelea vijijini kwenu ugogoni kwenye umaskini uliokithiri ilikusaidia kweli we????..au kwa vile sasa uko dar umeshasahau vijijini kwenu wanaishije wagogo wenzako????????....by the way..hivi we unafanya kazi kweli we???..maana ungekua unafanya kazi na unakatwa kodi usingekuja hapa na haya mashonde.......Angalizo tu kwako: mwenyekiti wako wa chama (JK)alizikataa nyongeza za hizi posho.......sasa we hapa unaongea kwa niaba ya nani???....nani amekutuma?????....unamfanyia nani udalali hapa we????
Ebu kwa kukusaisaidia tu...(maana naona huna kazi ya kukufanya busy we)..nenda pale NIMR kamwombe dada yako Mwela angalau kazi ya udereva....hata ya kumwendesha tu...maana wanasema...'an idle mind(like yours).is a devil's workshop'....very true........
 
- Heshima mbele JF, hivi karibuni nilikuwa Dodoma hili la Wabunge na posho limenishitua sana ukizingatia kwamba nilikuwa mmoja wa wananchi waliopinga sana Wabunge kuongezewa posho, there I was in Dodoma, hotel ya hadhi ya wabunge ni Dodoma hotel, bei ya chini sana kwa chumba ni Sh. 65,000 kwa siku; ukienda mtaani ni sh. 50,000 kwa siku, I mean bado wabunge hawajala na ku-deal na wananchi kutoka majimbo yao ambao humiminika kila siku Wabunge wanapokuwa Dodoma, kuwalilia shida za binafsi.

- Serikali itafute suluhisho la hili tatizo kwa sababu ni tatizo, tunaawaacha wabunge in an open field ya kupokea rushwa, nimeona Wabunge wengine wakiishi sehemu ambazo ni very dangerous kwa kiongozi wa taifa tunayemtegemea kuishi, halafu unakuta magazeti yakifurahia mbunge apigwa mapanga, mbunge aibiwa, I mean as taifa we have to do something, nchi nyingi Duniani, infact hata Zambia tu Serikali imewajengea Special Hostel wabunge wake kwenye maeneo ya viwanja vya bunge kupunguza hili tatizo la posho, I mean kwa hali niliyoiona hili tatizo halikwepeki ni lazima lizungumzike.

- Nilichojifunza kule Dodoma ni kwamba wengi wa Wabunge waliokuwa wanapinga posho ni wale wenye uwezo mkubwa sana kipesa kwamba hata hawahitaji hiyo posho ya sh. 70,000 kwa siku maana kwao ni peanuts na ni wachache sana, ninasema hii hoja ijadiliwe tena, tunawaweka wabunge wengi pagumu sana kimaishana hata kutuongoza.

William John Samwel Malecela @DSM City!

Ukiwa kama kiongozi mtarajiwa (mbunge/mbunge wa kiti maalumu/naibu waziri/DC nk), nilifikiri ungefocus kwenye mambo muhimu kama picha zinavyojieleza hapo chini lakini kumbe ni walewale. ni kizazi kilekile cha nyoka.

Wanafunzi+wa+darasa+la+tano+katika+shule+ya+msingi+Selous+wilayani+Namtumbo+wakiwa+darasani.jpg

Wanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi SelousWilayani Namtumbo wakiwa darasani.

Wanafunzi wa shule ya msingi Mkapa Wilayani Namtumbo wakiwa darasani na mwalimu wao.
​
​
​
 
Kwa heshima na Taadhima kwa all great thinkers naomba kucriticise hoja ya ndg William juu ya posho za wabunge aliyoiwasilisha jamvini. Ninakubaliana nae katika hoja yake inayolenga kutatua suala la matatizo ya malazi (accomodation)kwa wabunge kwa kuanzisha hostels ambazo zita save wabunge pale ktk viwanja vya bunge. Hili si tu litasaidia sana katika kupunguza gharama za maisha kwa wabunge na mzigo kwa wananchi ktk kuwahudumia wabunge wetu pindi watakapokua wakituwakilisha pale mjengoni,bali pia litasaidia kupunguza gharama na majukumu kwa vyombo vya ulinz katika kuhakikisha wabunge wetu wanakua salama wakti wakiwa kwenye shuguli zao pale dodoma. Hata hivyo, napenda kumkumbusha ndugu William kua accomodation ni moja tu ya sababu wabunge wametoa zinazopelekea wao kustahili ongezeko la posho. Sababu zingine (ambazo mimi nitazijadili)ni pamoja na kuongezeka kwa ugumu wa maisha (generally) na pia majukumu waliyonayo katika kutatua kero za wananchi ambapo wanafika mahali (kama wanavyodai)wanahitajika kutoa fedha zao mfukon.
1;maisha magumu yapo kwa kila mtanzania si tu wabunge. Kuanza kushughulikia suala la kuongezeka kwa gharama za maisha kwa kuangalia kundi moja moja ktk jamii inaonyesha jins viongoz wetu wanavyoanza kusahau sasa kua Tanzania ni yetu sote na huo ugumu haukeri wao tu bali hata sisi tunauchukia. Hii inaleta huzuni sana kwani kwa kiasi kikubwa ugumu wa maisha umeletwa na serikali tulioipa dhamana ya kusimamia rasimali zetu kwa manufaa ya wote, na wabunge wenyewe ambao tumewapa kazi ya kusimamia serikali ili itekeleze huo wajibu wa kusimamia rasilimali na kekemea pale utumiaj wa rasilimali unapokua haunufaishi wote,kwa kushindwa kufanya kazi yao ipasavyo kwa kukosa uzalendo. Lawama ziwaendee hasa wabunge kuanzia pale walipokubali i)kutunga sheria ya uchaguz inayotaka mbunge awe mwanachama wa PP ii)kwa kukubali kurekebisha katiba ili iendane na hayo matakwa ya sheria ya uchaguz baada ya kuonekana inapingana. Napili lawama kwa wabunge kwa kufika mahali wanatugeuka na kuungana na serikali kujimegea keki ya Taifa. Hili ndio kosa lilipelekea wabunge kupoteza nguvu zake mbele ya serikali kwakua wote sasa wamekua shirika moja, na pia coz viongoz wa serikali ndio hao viongoz wa vyama, na imetupotezea miaka kumi na saba ya maendeleo mpaka sasa.
Hadhi ya mbunge wa Tanzania:mahali anapolala na gharama zake za maisha kwa siku ifanane na hali ya uchumi wa Tanzania kwa sasa.
2; hoja ya wabunge kusaidia wananchi William umeiunga mkono,"kwa mtazamo wangu" nikujishushia heshima kulipa ongezeko la posho uhalali kwa hoja ya kuwasaidia wananchi wake financially coz;
a)si kazi ya mbunge kutatua matatizo binafsi ya mwananchi hiyo ni kama kutoa rushwa sasa (kutoa upendeleo wowote ili kumnyima,au kumpunguzia mtu uwezo wake wa kuamua kama ukigombea akupe kura au asikupe ni rushwa). Tumeona baadhi ya wabunge wakiondolewa madarakan (eg Lema)wananchi wanapagawa,wengine kwasababu za msingi kwa Taifa lakini wengine kwasababu alikua anasomeshea watoto wao. Kwa mtindo huu hata mbunge akiwa wa hovyo anaeza kuendelea kuepo kwakua anasomesha na kulisha familia kadhaa jimbon. Kwangu mbunge ni wa hovyo hata kama anafanya hayo lakin hafanyi kazi ya uwakilishi wa wananchi effectively na hachukui hatua zozote kufanya wananchi wawe independent..self relience ni msingi wa maendeleo.
b) mbunge anatakiwa kupambana ili serikali itatue hizo kero zinazomfanya mwananchi amfuate mbunge kwa shida binafsi badala ya kuomba aongezewe fedha ili atatue yeye. Mfano;mwananchi anamfuata mbunge kwakua amedhulumiwa shamba,mtoto wake ameshindwa kwenda shule kwa kukosa ada,amenyanyaswa na polisi,anahitaji matibabu na hamudu gharama na shida zinazofanana na hizo. Serikali inataiwa kutumia fedha kuboresha huduma kama za mahakama,mabaraza mbalimbali ya maamuzi,kupunguza gharama za huduma za afya na elimu ili kila mwananchi amudu,kuboresha maisha ya askar na watumish wa uma ili kupunguza rushwa na si kutumia fedha ili kuwawezesha wabunge kutatua shida za wananchi zinazotokana na matatizo kwenye ofisi mbalimbali za serikali na huduma za jamii,ts best to do the former coz tht will be dealing with source of problem and t z actually wht the government has been contracted to do while the later is dealing with the effect which is a costly way and is not reliable solution for the society as whole coz inategemea utashi wa mbunge ambae anaeza asisaidie vilevile.
Mpaka lini pesa za wananchi zitapitia kwa wabunge ndio zitatue matatizo yao?huku si kufanya wabunge miungu watu?
Kuunga mkono hii hoja ni kichefu chefu kwa watanzania tuliowengi.
Labla reality unayojua wewe Billy ni ya dodoma hotel, sidhan kama unajua reality ya kule Mtitaa,mlowa,mvumi na sehem zingine za hivyo ktk Tanzania. Nadhan ungejua ungekuja na hoja tofauti hapa.
Huu ni mtazamo wangu.nawasilisha.
 
Amekurupuka Huyo. Wanafunzi wanahitimu vyuo vikuu hakuna ajira wako radhi walipwe hata laki mbili kwa mwezi.. Yeye anataka kukumbatia huo ufisadi wa wabunge kulipwa 200,000 kwa siku.
 
Huyo jamaa asisumbue akili yako,hoja zake hazina sifa ya kujadiliwa.Kwanza kakiri kuwa awali alikuwa akichangia suala la posho bila kulifahamu sasa ndio amefahamu undani wa jambo hilo?ukweli ni kuwa baada ya kumwagwa uchaguzi ule ndio suala la posho amelielewa tofauti zaidi.
 
Mwambie jamaa aende Hungumalwa huko au makao meatu au kagerankanda au bariadi huko au maswa au kasulu kigoma huko akaona maisha wanayoishi wananchi wa tanzania yetu hii
Wanaoishi kwapato la chini ya dola moja
wanaoishi wakiwa hawajui kesho inaamkaje
Na akishayaona aje aseme hapa kuwa wabunge wabastahili kuongezewa posho
Nilimpinga kwa maelezo kwamba sio wananchi wote walio na uwezo wa kutoka huko waliko kuwafuata wabunge dodoma kuomba msaada
Mwananchi ambaye anatoka kasulu hadi dodoma maili kadhaaa kwenda kuomba msaada kwa mbunge wake sidhani kama mwananchi huyo ni mwenye shida kweli
nauli ya kutoka huko kasulu hadi dodoma sio chini ya laki bado malazi na kula kwake hadi afike dodoma na kukaa kwake dodoma
na je kama ametumia zaidi ya laki kutoka kwao kuja dodoma anategemea kutoka kwa the same mbunge apewe kiasi gani
Je kama ana uwezo wa kupata laki na zaidi kwa nini asizitumie kuyasolve matatizo yake aliyo nayo mpaka aende dodoma
Na je mbunge ni wa kusolve matatizo binafsi au ni matatizo ya jimbo lake
Maana kama angehakikisha anamaliza kero za jimbo lake sishani kama kuna mwananchi ambaye angeenda dodoma kulia shida(though tunajua shida haziiishi)
Na hapa inaonekana kuwa mbunge haonekani jimboni mwake na wananchi wake hawajui yuko wapi kwa hiyo ni kama kutegea kuwa kipindi hiki atakuwa dodoma na hapo ndio sehem ya kumpata

Hoja ya Willy haina mshiko kabisa na sijui ndio njia ya kutetea ili akifika 2015 akute posho ishapanda atakapojinadi na yeye
 
Huyo jamaa asisumbue akili yako,hoja zake hazina sifa ya kujadiliwa.Kwanza kakiri kuwa awali alikuwa akichangia suala la posho bila kulifahamu sasa ndio amefahamu undani wa jambo hilo?ukweli ni kuwa baada ya kumwagwa uchaguzi ule ndio suala la posho amelielewa tofauti zaidi.
MTOTO WA NYOKA NI NYOKA MNATEGEMEA NINI KUTOKA KWA MTOTO WA GAMBA BABA YAKE ALISHASEMA HUKO NYUMA AKIWA MADARAKANI (CCM ITATAWALA MIAKA 100 ZAIDI)SASA MTOTO WAKE ALIISHIA KUWA BAHARIA UNATEGEMEA NINI FROM THIS PERSON :israel:
 
- Heshima mbele JF, hivi karibuni nilikuwa Dodoma hili la Wabunge na posho limenishitua sana ukizingatia kwamba nilikuwa mmoja wa wananchi waliopinga sana Wabunge kuongezewa posho, there I was in Dodoma, hotel ya hadhi ya wabunge ni Dodoma hotel, bei ya chini sana kwa chumba ni Sh. 65,000 kwa siku; ukienda mtaani ni sh. 50,000 kwa siku, I mean bado wabunge hawajala na ku-deal na wananchi kutoka majimbo yao ambao humiminika kila siku Wabunge wanapokuwa Dodoma, kuwalilia shida za binafsi.

- Serikali itafute suluhisho la hili tatizo kwa sababu ni tatizo, tunaawaacha wabunge in an open field ya kupokea rushwa, nimeona Wabunge wengine wakiishi sehemu ambazo ni very dangerous kwa kiongozi wa taifa tunayemtegemea kuishi, halafu unakuta magazeti yakifurahia mbunge apigwa mapanga, mbunge aibiwa, I mean as taifa we have to do something, nchi nyingi Duniani, infact hata Zambia tu Serikali imewajengea Special Hostel wabunge wake kwenye maeneo ya viwanja vya bunge kupunguza hili tatizo la posho, I mean kwa hali niliyoiona hili tatizo halikwepeki ni lazima lizungumzike.

- Nilichojifunza kule Dodoma ni kwamba wengi wa Wabunge waliokuwa wanapinga posho ni wale wenye uwezo mkubwa sana kipesa kwamba hata hawahitaji hiyo posho ya sh. 70,000 kwa siku maana kwao ni peanuts na ni wachache sana, ninasema hii hoja ijadiliwe tena, tunawaweka wabunge wengi pagumu sana kimaishana hata kutuongoza.

William John Samwel Malecela @DSM City!

Ukiwa kama kiongozi mtarajiwa (mbunge/mbunge wa kiti maalumu/naibu waziri/DC nk), nilifikiri ungefocus kwenye mambo muhimu kama picha zinavyojieleza hapo chini lakini kumbe ni walewale. ni kizazi kilekile cha nyoka.
162664_150827278301082_100001214312304_274683_5007665_n.jpg

focusing yako iko kwenye vitu kama picha chini, pole hutufai

4914352.jpg
 
Nimeona thread yoyote inayomtaja huyu jamaa napata hasira sana, natamani kufa!
 
Back
Top Bottom