jipatie maujanja kuwa computer hacker | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jipatie maujanja kuwa computer hacker

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by koo, May 24, 2012.

 1. koo

  koo JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani habarini
  Ninatamani kuwa hacker na mtaalam wa computer lakini nilichelewa kuamua nisome nini nikajikuta nimeelekea kwingine nataka kujua kama nitaweza kujifunza hadi kuwa hacker nakama inawezekana nifanyeje nipeni mbinu
   
 2. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 885
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wewe hufai kufundishwa computer kwa kuwa utakuwa ''Pirate''Usiharibu taaluma za watu.Endelea na ulichosomea na acha tamaa za ujanani!Hacking is illegal,na hakuna chuo kinachokufundisha eti uwe hacker!
   
 3. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,758
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Daftari ya maarifa ya jamii ndani nakutana na stadi za kazi
   
 4. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 852
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa msaada ni kwamba, HAKUNA sehemu yoyote utakayofundishwa kuwa hacker. Hacking ni kama wizi. Hamna sehemu utakayofundishwa wizi isipokuwa unafundishwa kulinda na ukishajua kulinda ndio utajua ni sehemu zipi ambazo ukiacha wazi wezi watapita.

  Kutafuta sehemu iliyo wazi au kutumia ujanja kuiba japokuwa kuna ulizi ndio kama Hacking sasa. You first have to know how to defend before you can attack.
   
 5. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Usituaribie taaluma yetu mi ningekupa mwangaza kama ungepost inapenda kujua programming but siwezi kutoa comment za kukupa mwangaza mharifu,mm nasoma master now ya computer science but najua ww ni mharifu kabla hata hujajua computer,ushauri kasome kozi zingine kama nia ni kuiba nenda kawe mwanasiasa huko ukipata nafasi iba utakavyo huku utatuchafulia taaluma zetu.Hakuna chuo duniani kinafundisha uhacker au crackers wengi wanaacha ethics na kujiingiza kwenye uhalifu kama huo unaoutamani.
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  umenitesa bure mie nasubiri nisome kumbe nawe kimeo
   
 7. Fund

  Fund Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha chenga,kichwa cha habari kingine alafu unaandika mengine,njoo kwangu nikufundishe hyo hacking
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mi nimekimbilia nikafikiri ni maujanja umetuletea kumbe umekuja kulia shida nyamba...Badilisha title yako
   
 9. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 7,138
  Likes Received: 1,527
  Trophy Points: 280
 10. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  halafu ukishajua na ukiwa hacker utafanya je>???????
  utatumia vipi hiyo elimu ikupatie japo kipato????????
  mi nadhani wewe ukasomee tu namna ya ku instal programz na jinsi ya kuitumia ile ya TALLY
   
 11. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 379
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wengi hawajui maana ya hacker/hacking wanakimbilia kuporomosha maneno ya kejeli. Hacking ni muhimu sana ktk maisha ya mwanadamu, bila hacking hakuna maendeleo. Kwanza tafuta kitabu kinaitwa Hackers underground handbook. Hujachelewa, umewahi sana kutaka kujifunza. Halafu nakushauri ujifunze programming languages kama java, python, c, c+, perl, php etc. Kuna links ni pm takupatia siwezi kuweka hapa.

  hackers we run the world !
   
 12. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  duh! Kaka umemchana vilivyo! Hawa ndo wez! Kila kitu wanataka.
   
 13. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unataka kujifunza wizi?
  Anza kuiba sasa!
  Humu humu JF kuna mbinu nyingi tu za hacking Computers na hata simu na modems!
  Ni wewe tu kuchangamka
   
 14. javascript

  javascript Senior Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  thread yako ipo kama gazeti la udaku
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,229
  Likes Received: 4,020
  Trophy Points: 280
  The Wannabee Hacker's Library

  [TABLE]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD]"Imagination is more important than knowledge. Knowledge is limited.
  Imagination encircles the world" - Albert Einstein[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  This "Library" is a collection of links to documents, web pages and web sites that I have found useful when studying different aspects of ICT, or helpful to get myself out of a mess I got myself into. Trial and Error is a study strategy, too.
  Some of these documents are from the evening classes where I studied IT. They are in Duch.
  Some of the web pages I've written myself, as web authoring exercises, or as home work for school, or to make a summary on a certain topic, or just as a means to organize my thoughts. Some I've written just for fun.
  [​IMG]
  Table of Contents


  1. Library
   1. Applications : manufacturer support sites
   2. Computing - in general
   3. Databases and SQL
   4. Networks and Data Communication
   5. Programming
   6. Operating Systems
   7. System Administration
   8. Web and HTML
   9. What The Hack ?!
  2. howto
   1. Linux Hands-On Projects - learn Linux by using it : a collection of Linux Mini-Howto's
   2. playing with X Windows : a Linux Kiosk system ?
   3. Automatic System Administration : Windows Commands and Scripts
   4. unattended preconfigured software setup (Windows)
   5. automatic software deployment (Windows)
   6. Command line FTP - FTP scripts for DOS and Linux
   7. Emergency Anti-Virus diskettes
   8. Data Destruction - how to securily wipe hard disks and other media when decommissioning old computers
   9. Connecting a local network to the internet
   10. Internet and TCP/IP network on a DOS computer - including a small tutorial about TCP/IP.
   11. Hacking Exposed - introduction
   12. Multi Boot Primer
   13. Bootable Media - Creating and modifying bootable CD's
   14. the definitive Quickstart Beginners Guide to Nagios in 24 hours for Dummies.
  3. reading
   1. "Hacking"
   2. How to become a Hacker
   3. "Open Source" and "Free Software"
  4. Download Center
  5. The not so typical Disclaimer
  6. 2743 lessons - Table of Contents
  [​IMG]
   
 16. koo

  koo JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nashukuru nimepata pakuanzia asante pia kwawalio ona sifai kujua lakini kama nitafanikiwa sikumoja nitakua msaada kama sio kwao hata kwawatoto wao ficha ujinga usifiche taaluma
   
 17. rickymj

  rickymj Senior Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  whats up koo ingia google u search HACKER'S UNDERGROUND HANDBOOK kama wakikwambia ulipie ni pm nikuattachie humu mi nnacho
   
 18. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 885
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wewe ni mwizi,na subiri sheria za ICT ziboreshwe,tutawaingiza Segerea mpaka mnyooke!
   
Loading...