Msaada wa kupima DNA

Fund

Member
Nov 29, 2011
27
3
Habari wan JF,miaka ya nyuma niliwahi kulala na binti mmoja ,na tulitumia kondom,ukitazam akwa muda ambao tulikutana nae kimwili ulikuwa mwezi wa pili,hapo hatukuonana tena,nikishangaa mwezi wa tano nikipigiwa cm nakuambiwa hazion siku zake,nikamuuliza tangu lini akasema tangu mwezi wa nne!nikashindwa kukpata jibu kipindi alicho niambia n amuda nilio lala nae?hadi wakati huu huu alisha jifungua na kuelikea mkoani kwao,sijabahatika kumwona huyo mtoto,lakini ana dai ni mtoto wangu ,naomba msada wa njia gani nitumie nikapime DNA?nawasilisha
 
Ukapime DNA ya nini wakati ulitumia kondom? Acha uoga wewe! Au labda useme kondom ilipasuka ndo tutakuelewa!
 
Hapana hikupasuka ,nimeng'ang'aniwa kuwa mtoto ni wangu,ni hivi anatarajia kutimba kumleta huyo kid
 
Wajinga ndio mliwao,kwa kifupi huyo mmanzi kakuona we bonge la zoba.
 
Agha khan wanapima bila maswali. Sina hakika ni sh ngapi. Uwe unavaa double basi,kha!
 
Chukua mtoto wewe,kwani akiwa wako au si wako nshu iko wapi?Mlee huyo mpigishe shule atakutoa uzeeni pensheni yako ikiisha :)..A joke :) From my understanding DNA lazima upite kwa mwanasheria na ukubaliane na "mzazi" mwenzako,kama kumbu kumbu zangu ni nzuri bei ni laki na nusu kwa vipimo vya kila mtu...wewe na mtoto..laki 3.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom