Recent content by Chamkoroma

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nailazimisha furaha . . . nani wa kunifuta machozi.

    Kaazi kweli kweli, kwani kupashana ndiyo mtindo wa siku hizi?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    TELL US mwalimu wa BK f2&3 Umbwe sec, alipenda kuuliza Tell us? ukikosa tu anaonyesha kidole yaani toka nje, anamfuata mwingine, nae hivyo mpaka mtu ajibu swali la slivyo wote mtoke nje, tukamuita Tell Us
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi matamu kweli, ila yamepelea neno YES.

    Alichosema Futota ni kweli kabisaaa, asikudanganye mtu, uchumba siyo ndoa, kwahiyo kama unampenda kweli kula kubwa, jitokeze kwao, na kama alisha mpeleka jamaa basi itawekwa wazi nadhani atakukataza usiende kwao utajua basi anakupenda nusu lkn kama yuko serious atakubali na jamaa atabaki mdomo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    mdogo wangu mzuri, naandika kwa herufi kubwa ili kusaidia kuuweka msisitizo ktk jambo hili. Nashauri nashauri tena usije jaribu kusema kwa mumeo maisha ya mtoto akiwa mdogo mpaka akiwa anajitegemea au never on your whole life say this ni hatari kuliko unavyodhani, mtoto atauawa na baba yake anae...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu na mabinti wa vyuo!

    Contra entry "C" ya maisha
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tz yetu maisha magumu lkn viongozi wanasafiri nje na group la watu 40 hasara/faida ya nani?

    Wapendwa wangu nandugu zangu, maisha yetu yalivy magumu lkn utashangaa viongozi wetu hawaoni ugumu unaowatesa wa TZ kwa ujumla je, tutafanyaje ili waone kuwa kama kuna ulazima kusafiri kwenda UK& US na watu basi wawe watatu hadi watano, lkn watu wengi na wote wanapata first Class haya maisha...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uozo mwingine wa Serikali ya Kikwete huu hapa...

    Jamani mpaka lini tutakuwa wenyekupenda kusemana? mbona jama anasema kwa upole nakuelezea mambo yalivyo ndugu yangu umejisikiaje aliposema yupo USA? maisha ni yale yale inawezekana hom nibora zaidi lkn si vema jamvi moja kufokenana kumbukeni miiko ya hapa jamvini.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Patrick Mfugale awa Mkurugenzi mpya TANROADS

    Ndugu yangu wakti mwingine punda bila kiboko haendiiiiiiiiiiiiii ! anajua kabisa nafasi hiyo atapewa ndugu yake dr. Kawambwa na makapu ya karanga, kwahiyo ili anachopanga kichwani kiende sambamba na mipango ya maendeleo ya nchi nivema pia kuwa mgumu kuwezesha kazi yako iwezekufanikiwa, kwani...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jk aongoza maziko ya shekh yahya hussein

    Ndugu Matola mbona siyo majibu mazuri kwa mchangiaji mwenzio? sidhani kama unahaja ya kuzodoana, hapa jamvini kwani sote tunajenga TZ yetu kwa uhuru na umoja, je kunakitugani kimekuudhi hata ukamsopisha kwa ukali hivyo? unadhani amejiona kuwa nje ni ujiko zaidi ya wale walioko nyumbani? Hekima...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ngono, Maadili, Rushwa, Haki na Polisi (Magomeni) Tanzania

    Jamani kweli duniani tunayodhiki lakini tujipe moyo tutashinda kama Yesu alivyoshinda, jambo hili linaumiza kichwa kwasababu huyu mtoto hasomi hapa ila Arusha, japo hatujaambiwa umri wake lkn sidhani amebakwa kwasababu ya umri chini ya 18, naamini kabisa ni katabia alichoweka akilini mwake...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Ahmed Shabiby wa Gairo asipewe sifa?

    Kumpa sifa au la ni jukumu la waliopo Gairo lkn sioni kuna nn cha ajabu alichofanya, kama kuwasaidia maskini ni sawa, lkn je anavuna kiasi gani kupitia kura zenu? je amewawezesha wangapi kufikia level ya mafanikio? nimefika gairo feb 22 mwaka huu tangu 1991 nikimaanisha miaka 20 nikakuta hakuna...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali sehemu ya siri baada ya tendo la ndoa

    Ndugu yangu mpendwa pole sn niseme poleni sana nyote mliopatwa na tatizo linalofanana na hilo, mm ni kijana wa zamani kwahiyo hali kama hiyo ilinipata kunako miaka ya '84 nilipona kwa dawa ndogo sn, na nilipopata kijana wangu mdogo mwaka 2005 alipofikia miaka 3 yaani 2009 akawa analia kuonyesha...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Dalili za mume anayetembea na "house girl"

    Wa mama yawapasa pia kuwa na imani na waume zao khs HG kwani kama mtaweka mbele mawazo hayo maana yk huwezi muacha mumeo nyumbani na watoto at mume atamchukua HG, wengine wana wachukua kama watoto wao wakuwazaa lkn mkiwa na hofu sn, mwisho mtagombana nakuweka uhasama ktk ndoa, wanaume sikama...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Haka ndiko kabinti kangu...

    Ndugu mpendwa KJ pole sana kwa presha naamini ingekuwa mm walah, ningerudia njiani nakumpa blac & white huyo fataki, Mungu amekufungulia njia kujua mbaya wa mwanao kwa kufungua kinywa cha kinda wako kukuambia ukweli, wengine huhongwa mengi nakuambiwa wasiseme nyumbani, chamsingi, usichelewa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Link ya music hapa fj inapatikanaje?

    ndugu wapenda nawasalimia katika jina lipitalo majina la Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai, na ndugu zandu waislam, Salaam Aleykowasalam! Ninakumbuka sn hapa palikuwa ni kitovu cha kupata misic ya kila aina, hasa ss vijana wa ninteen kweusi tuliburudika sn, je, ni link ipi itanipeleka kuupata...
Back
Top Bottom