Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Ndo wimbo ambao huwa unanikumbusha kipindi nimelazimika kusafiri kikazi na kumuacha la azizi mbali. Kila ulipopigwa redioni machozi yaninilenga, kipindi hicho nilikokuwa hakukuwa na mtandao, nilipata sana shida kuwasiliana na mpenzi wangu. Wewe je! wimbo huo wa Lady Jaydee unakukumbusha nini?