Ndugu mpendwa KJ pole sana kwa presha naamini ingekuwa mm walah, ningerudia njiani nakumpa blac & white huyo fataki, Mungu amekufungulia njia kujua mbaya wa mwanao kwa kufungua kinywa cha kinda wako kukuambia ukweli, wengine huhongwa mengi nakuambiwa wasiseme nyumbani, chamsingi, usichelewa. kamwambie wazi ukimuonya nakumwambia kuwa mvua 30 ziko nje ya nyumba yk, km anaendelea kumfata au kuwafuata watoto wadogo, au km unaona huwezi basi waeleze Takukuru yaani majirani wamtumie mtoto wako au wajirani kumnasa huyu mzee akajifie rupango, ni ujinga mkubwa kwa wazee km hawa kuachwa wakiwaharibu wanetu, mm ninamtoto wangu wa miaka 10 pia inaniweka wakati mgumu sn kuamini kuwa yuko safe kama wako amefanyiwa haya, inanitesa akilini pia.
usingoje wakati mwizi aje kukuibia km unaweza mshoot maadamu unauhakika ni mwizi.