KUFA-Ticha wa sayansi drs la 6 n 7,akiingia 2 drsn anasema wote kufa,kufa,kufa,mnalala kwny dawati,then anapitisha fimbo za mgongo balaa.
MABAGS-sitamsahau huyu ticha akikukuta hata kariakoo anakukimbiza akikukamata anajisifu then anakuacha,anakwambia yeye akimkuta pugu boy mahali popote lazma amjue,ila alikuwa shallow sn kwny kemia,
MABESI-Ticha wa bios o-level alikuwa na sauti kama kameza sub-woofer ya kichina.
kuna mwalimu mmoja tulimwita" maajabu ya muziki",alipenda sana kutamka maneno hayo anapoelezea dhima ya muziki katika jamiinakumbuka baadhi ya majina ya walimu waliyopewa na wanafunzi kama ifuatavyo:
1. Solar system - mwalimu wa geograph form 1 au 2 alifundisha solar system akapatiwa jina hapohapo
2. Bambabay - mwalimu wa commerce form 3 alikua akielezea transport system,akaitaja bambabay ndio ikawa jina lake.
3.magazijuto - mwalimu wa hisabati darasa la saba alifundisha magazijuto na yeye ndio ikawa jina lake la utani au aka
4. Chonya of chilimwa - mwalimu wa kiswahili secondary alisoma habari za chonya of chilomwa akawa ndio jina lake
tupeni majina zaidi
jaman mi nakumbuka nsumba 2likuwa na ticha anaitwa maumivu ful kukunja uso, na
zuma 2lilikuta hlo jina eti alifndsha kitab cha mine boy,
sumve nlikutana na shogamwaju,makaveli,maza,domodebe,rude alikuwa black. ilikuwa raha sana bt na mm xaxa nasomea ualimu hope ntapewa la kwangu.
Mwalimu Domain, alikuwa anafundisha hesabu na alophamia shuleni kwetu topic aliyoanza nayo ni ya mambo ya domain na range. Kwa hiyo kila dakika utamsikia akiuliza what is the domain?
jaman mi nakumbuka nsumba 2likuwa na ticha anaitwa maumivu ful kukunja uso, na
zuma 2lilikuta hlo jina eti alifndsha kitab cha mine boy,
sumve nlikutana na shogamwaju,makaveli,maza,domodebe,rude alikuwa black. ilikuwa raha sana bt na mm xaxa nasomea ualimu hope ntapewa la kwangu.
Topics kama hizi zinatumiwa na usalama wa taifa kujua we ni nani na uko wapi? Beware