Link ya music hapa fj inapatikanaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Link ya music hapa fj inapatikanaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chamkoroma, May 11, 2011.

 1. C

  Chamkoroma Senior Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu wapenda nawasalimia katika jina lipitalo majina la Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai, na ndugu zandu waislam, Salaam Aleykowasalam!
  Ninakumbuka sn hapa palikuwa ni kitovu cha kupata misic ya kila aina, hasa ss vijana wa ninteen kweusi tuliburudika sn, je, ni link ipi itanipeleka kuupata music wa home kwetu, nakumbuka nilikuwa najiona kama nipo nyumbani japo nimekuwa nje ya TZ, kama hakuna mnaonaje kuurudisha tena ili cc wenzenu tunaokosa sauti za vijana wetu tuweze kuburudika kwa juhudi zenu wenzetu mlioko huko nyumbani kutuwekea kama zamani?
  natanguliza shukrani zangu kama nitasikilizwa.
  Regards:
  chamkey.
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hii forum jamii (fj) sijawahi iona
   
Loading...