Maumivu makali sehemu ya siri baada ya tendo la ndoa

Inawezelana ktk umri fulani ulijichua sana ikapelekea mishipa kupata dhoruba au unachango la kiume yaani ngiri onana na daktari bingwa atakusaidia ila umueleze ukweli kama ulijichua ni kwa muda gani.
Duh! Hiyo inawekana mkuu! Nilikuwa na hako ka tabia ka mwaka uliopita,inawezekana ikawa ndo imesabisha
 
Kama umekwenda hospitali za ukweli na kuambiwa huna ugonjwa tulia kwanza, inaweza kuisha yenyewe
 
wakuu nawasalimu,nina sumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye korodani zote haswa la kulia na sehemu yote inayozunguka uume baada ya kudo! Nimehudhuria hospital na kupima magonjwa yote ya zinaa nipo vizuri,tatizo hilo limeanza miaka mitatu iliyopita inapelekea nnakosa kabisa hamu ya hilo tendo na kuleta ugonzi na mchumba wangu! Je hili ni tatizo gani? Kuna tiba yake? Nawakilisha wakuu!!
Ndugu yangu mpendwa pole sn niseme poleni sana nyote mliopatwa na tatizo linalofanana na hilo, mm ni kijana wa zamani kwahiyo hali kama hiyo ilinipata kunako miaka ya '84 nilipona kwa dawa ndogo sn, na nilipopata kijana wangu mdogo mwaka 2005 alipofikia miaka 3 yaani 2009 akawa analia kuonyesha ana maumivu sehemu ake nyeti, niakmueleza mama yake ampe dawa hii ,TULATULA mizizi yake unaing'oa na kuparaza kutoa udongo na uchafu mwingine, itafune changanya na chumvi, najua wengi hawataamini lkn toka 1984 mapa leo sijasumbuliwa na tatizo hilo, na kijana wangu mama yake akamchemshia akampa, hadi leo ngiri haimsumbui tena, lkn huo ni mwanzo wa ngiri, au nguruwe wa kiume aishie porini.
 
Mkuu me nipo arusha ntaipataje hiyo dawa ili niitumie,msaada wako unahitjika mkuu!
 
Pole sana mkuu. Athari zake ni kutotaka tena hilo tendo, which is a serious crime. Sasa ni PM nikusaidie mkuu
 
Mkuu me nipo arusha ntaipataje hiyo dawa ili niitumie,msaada wako unahitjika mkuu!

mkuu wew upo arusha pande zip? Mim nipo pia arusha na hiyo dawa anayoisema mzee naipata kwa jina jingine huwa wanaita ndura huwa na matunda ya njano hiv na nividogovidogo vya mviringo.Sehem nyingi xana arusha nimeziona.
 
Ni Kweli Hiyo Tulatula Ndio Ndula? Baada Ya Miaki Mingi Ya Maongezi Yenu...Leo Hii Nami Nina Tatizo Kama Hilo!
 
wakuu nawasalimu,nina sumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye korodani zote haswa la kulia na sehemu yote inayozunguka uume baada ya kudo! Nimehudhuria hospital na kupima magonjwa yote ya zinaa nipo vizuri,tatizo hilo limeanza miaka mitatu iliyopita inapelekea nnakosa kabisa hamu ya hilo tendo na kuleta ugonzi na mchumba wangu! Je hili ni tatizo gani? Kuna tiba yake? Nawakilisha wakuu!!

vp ukijilipua mwenyewe "yanj ukiwa mwana chama wa chaputa" maumivu yapo pia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom