Recent content by byb sac

  1. byb sac

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    brrbvrrrrrerrvrvvrbrgrr[emoji3] [emoji30][emoji29] e [emoji29] [emoji3] [emoji3] [emoji3] r ebbbbbrebvven
  2. byb sac

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu watoto njiti (Premature babies)

    Nilimppteza mtoto wangu kwaajili ya ukosefu wa vifaa tiba. Hospital za serikali zinachangamoto sana. Hakukua na incubator zaid ya mashine moja ya oxygen watoto mapacha unawaweka kwa zamu yaan bas tu
  3. byb sac

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

    Kwenye mikoa jamani mbona haiji
  4. byb sac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaochelewa kurudi nyumbani sio wajinga

    Kabisa yaan, hamna sehemu nzuri na salama kama nyumbani. Mkiishi vizur kwa kuelewana nyumba inakuwa paradise ndogo hakuna atakaye tamani kuchelewa eti kuogopa kufanya kitu flani.
  5. byb sac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaochelewa kurudi nyumbani sio wajinga

    Kawaida tu kwasababu natambua hilo ni jukumu langu kama mama na mke yeye anafanya msaada wa hiyari tu kama baba ili aweke mchango wake kwa malezi ya mtoto. Asipofanya haimaanishi kwamba hajali hapana atafanya mengine ya muhimu pia hata kama yasipohusika na majukumu ya nyumbani. Ni swala la...
  6. byb sac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaochelewa kurudi nyumbani sio wajinga

    Mhhh inategemea na jinsi mnavyoishi na mke uliyenae. Mume wangu anarudig saa moja na nusu mpaka saa mbili na akikuta kuna baadhi ya vitu havijakaa sawa huwa anasaidia hasa upande wa mtoto kama kumlisha na kucheza nae ili mimi mke nifanye shughuli nyengine za upishi ukizingatia cna msichana wa...
  7. byb sac

    JamiiForums Tanzania Nimepata mapacha ila ni pre-mature

    Wataongezeka ila umakini unahitajika sana sana zaidi ya sana. Hakikisha unawavalisha nguo nzito maana baridi kidogo tu linawaletea madhara. Mama ajitaidi kula vyakula bora vinavyozalisha maziwa mengi. Mm nilijifungua pia pre mature wik 33 ingawa dotto alifariki ila kulwa yupo vizuri kilo saba...
  8. byb sac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume karibuni tuwajadili wanawake wakiwa na mimba

    Mimba zinavituko, mimi mimba yangu ilimpenda baba yao yaani mda wote nilikuwa natamani nikae nae nisikie tu harufu yake hasa kijasho flani hivi ndo najisikia amani. Kulala ilikuwa lazima awe pembeni yangu ndo usingizi uje vinginevyo nagalagala nahangaika mpaka nakoma. Kula mpaka apike yeye ndo...
  9. byb sac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Week mbili kabla ya harusi eti anaomba P 2

    Hili jambo ni mtihani aiseee, juzi tu jumatano kulikuwa na mdada ametoa mimba ya mtu mwengine kesho yake alhamis ilikuwa sendoff ijumaa kaenda kuflash yaan kusafishwa leo jmos saa 9 anasubilia kufunga ndoa na mwengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. byb sac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari ya kushtukiza kwa mpenzi

    Nilienda kwa mpz wangu kwaajili ya kuchukua vitu flan ambavyo niliviacha cku nyuma maana nilikuwa na funguo yangu na nilikuwa na uwakika mida hiyo yeye ajalud kazini kufika kwake mlango umefungiwa kwa ndani nikabaki nashangaa inakuwaje wakati funguo ziko mbili yangu na yake na yeye yupo kazin...
  11. byb sac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeitwa ukweni Singida, mwenye kuzijua desturi za Wanyaturu

    HAHAHA HAHAHA umetisha mnoo daah [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  12. byb sac

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Miss Tanzania

    Tuendeleeeeeeee leo weekend ni kuburudika tuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. byb sac

    JamiiForums Tanzania Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

    Ikiisha yote kabisa nitue niaze kuisoma, habari za kusubiria hapana zinaleta arosto ya ajabu mpaka hasira
  14. byb sac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

    Tatizo sio kazi hiyo ni tabia ya mtu . Mkeo anaiga wenzake na yeye akili yake ndogo hajui kuchanganua lipi jema lipi baya ongea nae tena na tena usichoke ipo siku mtafikia muafaka mwema. MUNGU yupo atakusikia kilio chako
  15. byb sac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

    Duuuh
Back
Top Bottom