Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Posts
1,887
Reaction score
1,623
Duh sijawahi kuona mtu mbishi kama huyu mke wangu tupo kwenye ndoa na mke wangu mwanasheria miaka zaidi ya kumi mwanzoni alikuwa akileta ubishi na mashindano nilikuwa namdunda hasa.

Lakini baadaye ikawa inanicost mwenyewe sababu ataugua wiki nzima mimi ndiye ilinibidi niwe nina mtake care hospitali nk hasa kipindi alichokuwa na mtoto mchanga kwa hiyo hata shughuli zangu zikawa zinaathirika pia nikaamua kum ignore mke wangu kila kitu anataka tuwe sawa.

Hataki kupika sababu anasema nayeye anafanya kazi (hata weekend anasema anapumzika) ,hafui kabisa ,kitanda hatandiki mambo yoote haya anafanya house girl ukimgusia juu ya lolote katika hayo mtakesha kugombana na ataleta mambo ya kubalance kati yake na yangu.

Hivyo unajikuta unakaribia kumdunda unaachana naye kwa hiyo nikaamua kuwa mlevi ili nimpotezee kabisa haya yote nimeshawaeleza mpaka wazazi wake lakini haijasaidia kitu yeye muda wote ni mambo yake ya corporate/official nk nk....dinner nyingi , meetings nyingi

Sasa nimefikia mahali sijui anarudi saa ngapi au kama yuko home atatoka saa ngapi yote hiyo anasema yuko busy na kazi/wateja anaweza kupigiwa simu hata saa tano/sita usiku atakwambia wateja hao kama vipi nipeleke ukijaribu kumzuia ni maneno ya kejeli kwenda mbele ni kwamba sasa ananipanda kichwani kiburi ,dharau ndiyo mpango mzima.

Ukiangalia kampani yake yote ni wanasheria lakini wameshaachika hawana ndoa tena au hawaoleki tuna watoto wawili nafikiria kumtimua kwani amenikuta na maisha yangu hapa na yeye nikamlea tangu hana kazi mpaka kapata kazi na sasa kapata jeuri bahati mbaya zaidi nimeacha pombe hivyo napata maumivu mara kumi zaidi.

Akili yangu iko hatua za mwisho za kufanya maamuzi ningependa kupata uzoefu kutoka kwa wenzangu walioingia kwenye chaka hili au kuna sehemu nilikosea? karibuni Rock City,Mwanza
 
Nilidate na mwanasheria mbona nilishika adabu halafu sasa nina bahati na wanasheria....

Huyo mwanasheria sasa alikuwa busy hatari anakosa hata muda nikaona hapa nitajitesa nikastep out bila kumwambia tuachane na tulipokuwa tunaelekea tulikuwa serious
 
Ndio kuna sehemu uliyokosea, na sio ingine zaidi ya kuoa mwanasheria!!

Mwanasheria acha aolewe na mwanasheria mwenzake!!

98% ya wanawake walio somea sheria ni pasua kichwa!!

Hao sio wake ni presha cooker!!
 
Duh,,,sijawahi kuona mtu mbishi kama huyu mke wangu........Tupo kwenye ndoa na mke wangu mwanasheria miaka zaidi ya kumi...mwanzoni alikuwa akileta ubishi na mashindano nilikuwa namdunda hasa....lakini baadaye ikawa inanicost mwenyewe sababu ataugua wiki nzima....mimi ndiye ilinibidi niwe nina mtake care hospitali nk hasa kipindi alichokuwa na mtoto mchanga..kwa hiyo hata shughuli zangu zikawa zinaathirika pia......nikaamua kum ignore....mke wangu kila kitu anataka tuwe sawa....hataki kupika sababu anasema nayeye anafanya kazi (hata weekend anasema anapumzika) ,hafui kabisa ,kitanda hatandiki..mambo yoote haya anafanya house girl...ukimgusia juu ya lolote katika hayo mtakesha kugombana na ataleta mambo ya kubalance kati yake na yangu.....hivyo unajikuta unakaribia kumdunda...unaachana naye....kwa hiyo nikaamua kuwa mlevi ili nimpotezee kabisa...haya yote nimeshawaeleza mpaka wazazi wake lakini haijasaidia kitu...yeye muda wote ni mambo yake ya corporate/official nk nk....dinner nyingi , meetings nyingi ....sasa nimefikia mahali sijui anarudi saa ngapi au kama yuko home atatoka saa ngapi..yote hiyo anasema yuko busy na kazi/wateja..anaweza kupigiwa simu hata saa tano/sita usiku atakwambia wateja hao kama vipi nipeleke....ukijaribu kumzuia ni maneno ya kejeli kwenda mbele...ni kwamba sasa ananipanda kichwani....kiburi ,dharau ndiyo mpango mzima.....ukiangalia kampani yake yote ni wanasheria lakini wameshaachika ..hawana ndoa tena au hawaoleki.....tuna watoto wawili ..nafikiria kumtimua kwani amenikuta na maisha yangu hapa na yeye nikamlea tangu hana kazi mpaka kapata kazi na sasa kapata jeuri ....bahati mbaya zaidi nimeacha pombe hivyo napata maumivu mara kumi zaidi ..........akili yangu iko hatua za mwisho za kufanya maamuzi....ningependa kupata uzoefu kutoka kwa wenzangu walioingia kwenye chaka hili au kuna sehemu nilikosea?....karibuni Rock City,Mwanza
Kumbe ni wa nyumbani, na mimi nataka kumbuka mmoja ila kama unanitisha vile
 
Kuoa mwanaharakati nishida sana !!.

Sema nn ,, wewe nimzembe mkuuu ,hupaswi kuruhusu ubize wakazi zake ukunyime raha !!.

Huo uanasheria niwake hukohuko ,akifika nyumbani ni "Mwanamke wako".
 
Piga Chini kabla hujaleta Murder Case ..Sasa kama Ofisini kote wameachika na yeye ndiyo yupo Kwenye Ndoa Pekee yake unadhani kuna salama hapo???

Mkuu watoto wawili ni Wengi watakufariji Maisha ya Siku hizi ukiwaendekeza hawa viumbe unaweza jikuta unanafanya dhambi ambayo haina Msamaha.. Wewe Weka wazo mezani kuwa kwa kuwa jitihada zote za kumrekebisha zimeshindikana basi uamzi uliyopo ni bora ijulikane huna Mke kuliko kuwa na mke asiyekuwa na heshima Ndani ya Nyumba.

Kwa anayokutendea na kama Wazazi wanajua huna sababu ya kuingia kwenye dhahama ya mauti ilihali unaweza kuiepuka. Anzisha mahusiano na house Girl kwa kuwa huyo ndiye anayefanya kazi za mama Nyumbani iwe kigezo cha yeye kusepa.

Mkuu karibu Dodoma.
 
Kuoa mwanaharakati nishida sana !!.

Sema nn ,, wewe nimzembe mkuuu ,hupaswi kuruhusu ubize wakazi zake ukunyime raha !!.

Huo uanasheria niwake hukohuko ,akifika nyumbani ni "Mwanamke wako".
Ukithubutu kuleta hii hoja utafunguliwa vifungu vya sheria plus katiba alafu akwambie unamnyima freedom ya kufanya kazi kwa mujibu wa kifungu 1(a) cha sheria ya kazi na haki za binadam.... Ukiendelea kubisha jua kesho unapelekwa polisi...
 
Ndio kuna sehemu uliyokosea, na sio ingine zaidi ya kuoa mwanasheria!!

Mwanasheria acha aolewe na mwanasheria mwenzake!!

98% ya wanawake walio somea sheria ni pasua kichwa!!

Hao sio wake ni presha cooker!!

......nimekuja kujua too late....
 
Tatizo sio fani ya sheria tatizo ni self understanding ya mtu mwenyewe na kushindwa kutofasiri kisheria kati ya RIGHTS (haki), DUTIES (wajubu/majukumu) na PRIVILEGES (kisw cjui) hata wanaharakati wa haki za binadamu wamekuwa wakishindwa kuuambia umma suala hili.

RIGHTS (haki)
Zipo kwa mtu wa sheria kwa kwa binadamu yyte baada ya kutoka nje ya tumbo la mama. na zile zinazopatikana kwa mujibu wa sheria zingine kwa masharti fulan eg. Bada ya kufikisha miaka 18 n.k

DUTIES (majukumu)
Kwenye ndoa (ni tofauti na kwenye Tangazo la kazi n.k ambapo wajibu huandikwa) wajibu haojaorodhesha bayana/kinaga ubaga kama jinsi ili kwny RIGHTS

Wanaposema "EQUALITY BTN MEN & WOMEN" wanamanisha in_terms of rights na sio duties or privileges. Na kwenye Ndoa Rights claim hutokea hasa wakati ndoa inapoingia matatani (when rivals crops)

PRIVILEGES
Ni sitahiki ambazo mwanadoa anasitahi kupewa mfn
-Kupendwa
-Kuheshimiwa
-Zawadi
N.k (hizi zipo hata kwny Biblia kwa wakristo soma Waefeso 5:22-26.

Huyo wifi kaka yangu ni tatzo lake binafsi (Problem in persona) na sio lawama kwa wanasheria wote (problem in rem)
 
Back
Top Bottom