Safari ya kushtukiza kwa mpenzi

Safari ya kushtukiza kwa mpenzi

ni kweli,ila chanzo ujue ni nini,nilikuwa nawawinda na huyo mshikaji nijihakikishie kuwa naye pia anatembea naye,so nikaingia kazini usiku kucha nafatilia nyendo zao hadi mwisho walipoingia ghheto kwa demu na jamaa kula mzigo. sasa nimeshajua kumbe tuko wangapi kuliko vile nilikuwa nabahatisha.. now niko na amani walau ila sex kwa hisani ya dume condom
[emoji23][emoji23][emoji23]una hatarii aisee
 
Upumbavu huo, ndio maana wazee wengi wa zamani walikufa Maskini kwa ujinga waliokuwa wakiuita Busara. If ts Red you better know its Red, kama ni Nyeupe ijulikane Nyeupe
Nimekupenda bure, mm mwenyewe nawashangaa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23]una hatarii aisee
😀😀😀 kawaida mzee,ila jana nimechat na demu ,imefikia mahala naachana naye,maana ni danger kuwa na mahusiano ya wanaume watatu kwa mwanamke mmoja,na sisi watatu ni wale tu ambao kama hivi mimi nimejua. je,huko kwengine tena??? namuacha rasmi
 
Babu yangu alikuwa na busara sana aliwahi nambia ukitoka safari ukifika karibu na nyumbani mpe mtoto koti atanatangulize home then Jibaraguze kuongea na jirani au kunywa soda tumia nusu saa ndo uende home
Nzuri hiyo kuepusha balaa maana, unakuta mwanaume unamshitukiza mpenzi wako we mwenyewe una moyo wa plastic unakutana na jitu limo ndani lina moyo wa chuma sasa!!! Halaf ile unafungua tu mlango linapita na ww unadondoka unakufa. Tuaminiane tu
 
Hiyo tabia huwa si nzuri.......mpe mtu taarifa ajue juu ya ujio wako.....labda kama unaishi na mil njoo muda wowote sitakuuliza.....

Ila kama unakuja ghafla kwangu na hauishi hapo huo sio ustaarabu unaweza kuja mimi sipo vizuri siku hiyo mood imefyatuka ukaja tukazinguana......

Au ukaja nyumba ni chafu na sipo comfortable ukija paona pako hivyo.....kuwa tu mstaarabu. Kama mtu ni muhuni ni muhuni tu.......
 
Nilienda kwa mpz wangu kwaajili ya kuchukua vitu flan ambavyo niliviacha cku nyuma maana nilikuwa na funguo yangu na nilikuwa na uwakika mida hiyo yeye ajalud kazini kufika kwake mlango umefungiwa kwa ndani nikabaki nashangaa inakuwaje wakati funguo ziko mbili yangu na yake na yeye yupo kazin mida hiyo ikabid nigonge akaja kufungua mdada mwengine tena kajifunga kanga zangu nilizoziacha pale cjui alidanganywa nini mpaka akavaa afu ananiuliza nikusaidiaje dada wakati huo kashika chupa ya chai niliyonunua mwenyewe maana wanaume upande wa vyombo sio sana aiseee nilisema tu nimekosea nyumba nikaondoka sikuwa na hamu na hata nilichoenda kufata.
 
Dah naondoka na sitataka kumwona huyo mwanaume tena vile nilivyo na roho ngum sikuhiz
 
Nilienda kwa mpz wangu kwaajili ya kuchukua vitu flan ambavyo niliviacha cku nyuma maana nilikuwa na funguo yangu na nilikuwa na uwakika mida hiyo yeye ajalud kazini kufika kwake mlango umefungiwa kwa ndani nikabaki nashangaa inakuwaje wakati funguo ziko mbili yangu na yake na yeye yupo kazin mida hiyo ikabid nigonge akaja kufungua mdada mwengine tena kajifunga kanga zangu nilizoziacha pale cjui alidanganywa nini mpaka akavaa afu ananiuliza nikusaidiaje dada wakati huo kashika chupa ya chai niliyonunua mwenyewe maana wanaume upande wa vyombo sio sana aiseee nilisema tu nimekosea nyumba nikaondoka sikuwa na hamu na hata nilichoenda kufata.
[emoji121]
MKUU,

NI_PM NAMBA YAKO YA SIMU KWANZA,
HAIWEZEKANI UFANYIWE UHUNI WA KISHAMBA KAMA HUO!!!

NIMESONONEKA SANA!!!
 
Hiyo tabia huwa si nzuri.......mpe mtu taarifa ajue juu ya ujio wako.....labda kama unaishi na mil njoo muda wowote sitakuuliza.....

Ila kama unakuja ghafla kwangu na hauishi hapo huo sio ustaarabu unaweza kuja mimi sipo vizuri siku hiyo mood imefyatuka ukaja tukazinguana......

Au ukaja nyumba ni chafu na sipo comfortable ukija paona pako hivyo.....kuwa tu mstaarabu. Kama mtu ni muhuni ni muhuni tu.......
Exactly Kuna time unakuwa Huna mood ya kuonana/ kuongea na mtu
 
Nilienda kwa mpz wangu kwaajili ya kuchukua vitu flan ambavyo niliviacha cku nyuma maana nilikuwa na funguo yangu na nilikuwa na uwakika mida hiyo yeye ajalud kazini kufika kwake mlango umefungiwa kwa ndani nikabaki nashangaa inakuwaje wakati funguo ziko mbili yangu na yake na yeye yupo kazin mida hiyo ikabid nigonge akaja kufungua mdada mwengine tena kajifunga kanga zangu nilizoziacha pale cjui alidanganywa nini mpaka akavaa afu ananiuliza nikusaidiaje dada wakati huo kashika chupa ya chai niliyonunua mwenyewe maana wanaume upande wa vyombo sio sana aiseee nilisema tu nimekosea nyumba nikaondoka sikuwa na hamu na hata nilichoenda kufata.
Mkuu, we n mstaarabu sana aisee
Huenda hata mumeo huwa anajidai kuwa kweli alipata mke bora.
Mwanamke/mwanamke ambae hajitambui ni kumwacha tu na ujinga wake wa kujiona ye mjanja.
Labda ungeliamsha varangati hapo ungeweza hàta kuumizwa na kuachiwa ulemavu sabb ya mwanaume ambae hajitambui. Ulifanya vzr kuondoka bila kufanya fujo
 
KITU AMBAYO SIWEZI KUFANYA...NI KUJIDANGANYA...

ETI NI BORA UCHEATIWE USIJUE...

THUBUTUUU...YAANI SIPENDI KICHEATIWA...NIWE NAJUA AU SIJUI...
 
Back
Top Bottom