Evarist Massawe
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 857
huu mzigo naona steve kausahau kabisaa
Na jinsi nilivyousubiria kwa hamu.huu mzigo naona steve kausahau kabisaa
Mkuu sijui tutumie njia gani kumshawishi SteveMollel aendelezo kitu hiki maana nakikubali sana hata anga la washenzi haiifikii hii japo na yenyewe ni nzuri lakini kwa upande wangu njia nyembamba ni baba laoIna maana tangu mwaka Jana mpaka Leo?
Ngoja tuone.Stivu anazingua sana, hata kwenye anga la washenzi sina hakika kama itaisha hiyo simulizi
Inabidi ukishakuwa na kipaji cha utunzi na uandishi usiendeshwe na hasira kwa hilo mkuu unaliweza.Ngoja tuone.
Ikiisha yote kabisa nitue niaze kuisoma, habari za kusubiria hapana zinaleta arosto ya ajabu mpaka hasiraStivu anazingua sana, hata kwenye anga la washenzi sina hakika kama itaisha hiyo simulizi
Steve mollel
Weka account yako ya insta unayotumia kutuma hii story