Wanaume karibuni tuwajadili wanawake wakiwa na mimba

Wanaume karibuni tuwajadili wanawake wakiwa na mimba

Hupenda sana kudeka, kununa ni ndani ya sekunde moja tu hasa usipomtimizia mahitaji yake kwa wakati, kiwango cha wivu hufikia 99%, kula kula hovyo, hali ya kulala lala tu kila wakati ikiambatana na uvivu usio wa kawaida, nk.
Nataman mume wangu apite huku ili asikasirike maana hizo ni tabia zangu zote
 
Sijui kwanini nampenda mke wangu sana kipindi cha Mimba kuliko vipindi vingine
 
Dahh...

Haya wanaume wa Dar mje mjadili mimba hukuu!!
 
Mimba zinavituko, mimi mimba yangu ilimpenda baba yao yaani mda wote nilikuwa natamani nikae nae nisikie tu harufu yake hasa kijasho flani hivi ndo najisikia amani. Kulala ilikuwa lazima awe pembeni yangu ndo usingizi uje vinginevyo nagalagala nahangaika mpaka nakoma. Kula mpaka apike yeye ndo kinapita mwengine akipika natapika mwanzo mwisho ilamlazimu awe anawai kuludi kazini kunipikia na asubui aondoki mpaka anikorogee uji daaaah kutafuta ubuyu kuja nao na maembe. nilideka kile kipindi ASANTE MUME WANGU KWA KUNIJALI KIPINDI CHOTE CHA UJAUZITO MPAKA NIMEJIFUNGUA SALAMA MAPACHA WETU VIDUME VYAKO HALALI ULIJUA KUVIHANGAIKIA.
 
Back
Top Bottom