Wanaochelewa kurudi nyumbani sio wajinga

Mwanaume kuwai nyumbani noma sana Kwanza waweza kubambwa mana iyo mida ndo yakuongea na michepuko sasa jifanye unawai maskani kumbe unajikamatisha mwenyewe
Vizuri sana, na wewe unampa muda wa kuwasiliana na michepuko yake. Maisha haya raha sana...unahisi unamkomoa mtu kumbe mwenzio anayoyafanya kutokana na uboya wako wa kumkwepa ni makubwa hata shetani mwenyewe anashangaa
 
Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana. Kimsingi mwanaume aliyeoa anatakiwa kuwa nyumbani kati ya saa moja na nusu na saa tatu japo wengine mpaka saa tano au saa sita. Hiyo sio nzuri

Ila ni kosa namba moja kwa mwanaume kurudi nyumbani saa kumi sijui saa kumi na moja, ukiwahi kurudi nyumbani na umekaa tu mke wako ataanza kukupa kazi zake umfanyie. Wewe kama mwanaume utaona anazingua, usipofanya ataona humpendi na ukizifanya atazifanya kuwa majukumu yako na inaweza kufika hatua atataka mpangiane mpaka zamu ya kudeki nyumba.

HASARA ZA MWANAUME KUWAHI KURUDI NYUMBANI NI PAMOJA NA....
1. " Sijisikii vizuri, nisaidie kuosha nyombo...."
2. " Sisi tunapika, we kanunue chumvi na nyanya..."
3. "Unapoangalia TV hapo nikuletee mchele uuchambue...."
4. " Kumbe ulifika mapema, mbona hujapika sasa...."
5.
6.
7.
8. Malizieni nyingine......

Hawa ndugu zetu ukiwafulia nguo leo basi atataka kila siku ufue, ukiosha vyombo leo atataka kila siku uoshe. Sasa wewe endelea kujifanya unawahi kurudi nyumbani mapema ukaona kwamba ni baba bora kumbe unabomoa nyumba yako, "UKIONA WANAUME WANACHELEWA KURUDI NYUMBANI UJUE SIO WAJINGA"

Ko unaona bora ukachambue mchele kwa mchepuko?. By the way hakuna kitu kinachoashiria usalama wa familia na malezi bora ya watoto kama Baba kuwepo nyumbani kabla hawajalala.

Ukiendekeza kurudi night kali kila siku kuna siku hutarudi in one piece.
 
Nadhani hapa inategemeana na wana ndoa nyie mna tabia gani' mimi nyumbani kwetu Baba alikua anarudi saa9 toka kazini na alikua afisa wa serikali anabadili na kutoka tena ni mnywaji saa11 yuko home anakula na kutulia tu akifanya vitu vyake toka nnasoma primary mpaka namaliza High School na sikuwahi kuona Mama anampa kazi zake za nyumbani Mzee hata kwenda dukan kununua chumvi au soda sikuwahi kuona.

Hapa inategemea na kuzoeshana kwenu na pia kila mtu afahamu majukumu yake ndani ya ndoa yaan hata kama mwanamke ni mfanyakazi lazima pia atambue majukumu yake kama mwanamke ndani ya nyumba na pia mwanaume lazima afahamu majukumu yake ndani ya nyumba' angalizo kusaidiana ndani ya nyumba ni muhimu kwani pia upendo huongezeka baina ya wanandoa na pia ni namna ya kupeana unafuu na mapumziko baina yenu.

Usilinganishe wanawake wa enzi hizoo na Sasa. Kama umemuelewa vizuri mleta mada anamaanisha wanawake wa Sasa.
 
Kama kazi zote hizi unafanya, kuna haja gani ya kuoa? Nioe halafu nipike? bora niishi peke yangu nijue sina mke. Narudi muda wowote ninaoutaka kwasababu hapo ni kwangu.
1. " Sijisikii vizuri, nisaidie kuosha nyombo...."
2. " Sisi tunapika, we kanunue chumvi na nyanya..."
3. "Unapoangalia TV hapo nikuletee mchele uuchambue...."
4. " Kumbe ulifika mapema, mbona hujapika sasa...."
 
daaaaah mkuu utakua una asili ya watu wa kaskazini na huyo mme wako ana asili ya pwani au pengine huyo mme wako ni tegemezi kwako.
hio ndoa yako itakua ni ya moto sababu ya uanaharakati wako.
NB samahani kwa maneno yangu yasio mazuri
but kama ungeolewa maeneo ya kanda ya ziwa ungekua na ukilema wa maisha
hayo ni maneno na mawazo ya wanaume wanyanyasaji, wanachukulia mwanaume kumpenda mwanamke na kusaidiana nae hasa kwa kazi za nyumbani eti ni udhaifu, yani they cant tell the difference btn love and weakness. To them kumnyanyasa mwanamke na kumfanya akutumikie kama mungu mtu ndo uanaume. And for ur information mshahara wa mume wangu ni mara 4 au 5 ya mshahara wangu, hivyo kaka wa watu huwa hata hasumbuki kuulizia hela yangu majukumu yote yahusiyo hela ni juu yake mimi nikichangia nachangia kwa kupenda kwangu na kwa kuwa najua hii ni ndoa inabidi kushiriakiana katika mambo yote so huwa najitutumua pale nnapoweza. Kiufupi ni mwanaume anaejua kupenda, kujali na kusaidia sana tena sana ila ana maeneo yake usimkoroge, vile anavyokufanyia anataka uviheshimu usimchukulie poa, na wala mimi sio wa kaskazini na yeye wala sio wa pwani
 
Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana. Kimsingi mwanaume aliyeoa anatakiwa kuwa nyumbani kati ya saa moja na nusu na saa tatu japo wengine mpaka saa tano au saa sita. Hiyo sio nzuri

Ila ni kosa namba moja kwa mwanaume kurudi nyumbani saa kumi sijui saa kumi na moja, ukiwahi kurudi nyumbani na umekaa tu mke wako ataanza kukupa kazi zake umfanyie. Wewe kama mwanaume utaona anazingua, usipofanya ataona humpendi na ukizifanya atazifanya kuwa majukumu yako na inaweza kufika hatua atataka mpangiane mpaka zamu ya kudeki nyumba.

HASARA ZA MWANAUME KUWAHI KURUDI NYUMBANI NI PAMOJA NA....
1. " Sijisikii vizuri, nisaidie kuosha nyombo...."
2. " Sisi tunapika, we kanunue chumvi na nyanya..."
3. "Unapoangalia TV hapo nikuletee mchele uuchambue...."
4. " Kumbe ulifika mapema, mbona hujapika sasa...."
5.
6.
7.
8. Malizieni nyingine......

Hawa ndugu zetu ukiwafulia nguo leo basi atataka kila siku ufue, ukiosha vyombo leo atataka kila siku uoshe. Sasa wewe endelea kujifanya unawahi kurudi nyumbani mapema ukaona kwamba ni baba bora kumbe unabomoa nyumba yako, "UKIONA WANAUME WANACHELEWA KURUDI NYUMBANI UJUE SIO WAJINGA"
Hivi wanaume wengine mnakuwaje. Hadi mwanamke adiriki kukwambia hayo, Mara mbona hujapika, nikuletee mchele uchambue, sijui kanunue chumvi, huoni kuwa anakuwa ashakuonamo??

Pumbavu kabisa wanaume mnaoambiwa hivi, shenzi kabisa
 
Kuna jirani yangu ni fundi seremala ofisi yake haipo mbali na kwake. Siku moja kaamua kujiongeza na kubandika maharage mkewe alikua katoka, mkewe karudi akafurahi kweli. Siku nyingine mwamba kaendelea na shughuli zake mkewe alikua katoka bahati mbaya this time hakubandika maharage. Mkewe karudi kaanza kummind kwa nini hakufanya kama mwanzo na kuanza kuropoka kwa sauti. Bibi alitembezewa makonzi hayo Uchebe akasome.
Saf kabisa
 
Na ukipata mume wa hiv hamu ya sex itakua juu muda woteee,
Na Kuna wanaume wamefundishwa bwNa hapendi kutuma kutuma kabisaa na hawez kukaa vitu havijawa sawa
Mungu azidi kuwabariki
Kabisa yaan, hamna sehemu nzuri na salama kama nyumbani. Mkiishi vizur kwa kuelewana nyumba inakuwa paradise ndogo hakuna atakaye tamani kuchelewa eti kuogopa kufanya kitu flani.
 
Jizungumzie mwenyewe ndugu. Tunatofautiana
Hakika:lakona wanawake walo wengi hawasaidiki kabisa, ukimsaidia hiki yeye anakuweka kwenye zamu kabisa. Kuchelewa kufika nyumbani ni moja ua kupunguza matatizo yasiyo ya lazima.
 
Back
Top Bottom