Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,992
We unajuaje kuwa mleta mada ni mwanaume kamili?Mwanaume , unatumwa P2 na mwanamke ambaye anaingia kwenye ndoa ndani ya wiki 2, ambaye ametoka kufanya ngono zembe na mwanaume mwingine...kwanini asimtume huyo aliyetoka kumtafuna?haileti picha nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app