mind bringer
Senior Member
- Oct 19, 2017
- 170
- 51
IT wa tamisemi n wabunfu wa kutengeneza maputo na alama ya reli kwenye mtandao wao cio kufanya simplicty ya ku access their web.......wanakwama sanaa
Inawezekana mkuukuna namna yeyote ya kuondoa somo kwenye kipengele cha "APPLICANT TEACHING SUBJECT"..?
nAHITAJI KUONDOA BIOLOGY KUTOKA KWENYE ORODHA.
View attachment 1564753
Kuedit inawezekana mkuu.Mimi mnisaidie wadau. Nimeweka machaguo 9 badsala ya matano. Nimekuja kuona hivyo baada ya kisubmit kabisa na hakuna option ya kuedit. Kwakawaida machaguo ni matano
Imenitokea pia kwenye date of birth imepunguza tarehe moja nimeedit inagoma so niendelee mbele tu mkuu?Huu mchakato nimeuanza toka tarehe 8, na usiku wa tar 8 kuamkia tar 9 nililala saa nane usiku bila mafanikio, usiku wa kuamkia leo, nimekomaa kuvumilia kuyaangalia yale maputo [emoji23][emoji23] na mtandao ukanikubalia japo kwa kuubembeleza na hatimae mida ya saa kumi na moja kasoro asbh nikakamilisha.
Kwa ambao hawajakamilisha, endeleeni kujaribu na uvumilivu ni muhimu. Hii site ni kujaribu day and night maana kuna wengine walifanikisha jana saa tatu asbh.
Changamoto kubwa za huu mfumo ni pamoja na kuwa slow sanaa, yaani hadi kero. Pia nimeona kwenye Date of Birth (DoB) inapunguza siku moja kwenye tarehe. Mfano ukiandika 1980/01/5, mfumo unabadilisha na kuandika 1980/01/4.
Pia centre namba za shule zinabadilika, mfano S1168 inabadilika S900 baada ya ku-save choices. Kibaya kabisa, unavyozidi kuchelewa nafasi zinajaa. Kwahyo mwishowe utajikuta umefanikiwa kuingia kwenye mfumo na kukuta shule zenye uhitaji wa masomo yako zimeondoka baada ya vacancy zilizokuwepo kujaa.
Mwisho kabisa, nawashauri ambao bado kuwa mfumo hauhitaji hasira, nenda nao kwa uvumilivu.
Duh kweli mimi badala1/9 imeandika 31/8Imenitokea pia kwenye date of birth imepunguza tarehe moja nimeedit inagoma so niendelee mbele tu mkuu?
Mpaka sasa hivi hujui cha kufanya na deadline ni kesho. HahahahahaHivi barua hii inayotakiwa inaandikwa kwa mkono(handwriting)au ya kuchapa
Nani kakuambia deadline ni kesho?kama huna jibu la kusaidia ni vyema ukakaa kimya kwani kukaa kimya nayo ni jibu.Kwenye tangazo mwisho tarehe 21/9Mpaka sasa hivi hujui cha kufanya na deadline ni kesho. Hahahahaha
INAWEZEKANA 100%Inawezekana mkuu
Mwambie aweke namba tofaut na hyo kama yake inaishia 21 bas abadili aweke 22 ikishakubali ndo aedit.aweke.yale ngoma inakuwa sawaAisee kuna mshikaji kajaza kila kitu tatzo limekuja kwenye namba ya chuo, wanamwambia namba anayoweka haipo. Karudia na kurudia bado namba anaambiwa haipo, wasiwasi ni kuwa alijihusisha na siasa tena upande wa upinzani hivyo wengi wanahisi wakubwa wame mute namba yake kwenye system.
Ajabu wengi wametumia kifaa hichohicho kuapply wanafanikiwa akija yeye tatzo lilelile, akija mwingine anafanikiwa, labda kuna ambaye amekutana na hilo tatizo wakuu?
Hazipotei mkuu....kwa mfano ukiedit machaguo ya shule itakulazimu u attach upya application leter ili uweze ku save data zako.Samahan wakuu, vip Kama umemaliza na ukasubmit alaf badae ukaedit taarifa za mwanzo kwa mfano secondary education, vip zile part za chini (za mwishoni) kama masomo na shule ulizochagua zitapotea?? VIP nazo utaziedit au zitaendelea kuwepo maana hizo ni taarifa zinazobidi zijazwe mwishoni alaf ndio usubmit. Mwenye uelewa pliz.
Nimekupata uzuri, nashukuruHazipotei mkuu....kwa mfano ukiedit machaguo ya shule itakulazimu u attach upya application leter ili uweze ku save data zako.
mbona napata message inasema, email address already exists. hata nikibadilsha bado tu. kila nilioyoweka inasema hivyo hivyo