Wanaomba radhi inamaana huduma na vitendea kazi,hizo machines zimenunuliwa tayari maana mgomo haukuwa wa kimaslahi tu.Njaa noma ukizingatia upo jijini lazima uwe mdogo kwa wanaume
Kwa barabara za ndani mara nyingi zinakuwa zipo chini ya manispaa hapo kuna kuwa na budget yake kwenye halmshauri chini ya mkurugenzi ambapo fedha hizo uidhinishwa kupitia vikao vya baraza la madiwani na mwenyekiti wa halmashauri kwahiyo mbunge makini lazima atafuatilia ilo kwa kuwa karibu na...
Barabara ya lami imefika lini turiani ndugu yangu hadi iunguzwe na moto,hapo umechemka.Kwa taarifa turiani hamna lami labda kama si turiani ya morogoro,wilaya ya mvomero!!
Nissani UD ni kwa safari ndefu za nje ya nchi na UD Usichezee tambalale na kwenye miteremko hata scania haifuati na ndio maana ukiangalia mabasi yanayoenda malawi,mwanza via nairobi,Uganda,Zambia hadi S.A ni UD yanauwezo wa kutembea muda mrefu,Scania kwenye milima sawa ina turbo ila safari...
Sasa we watu waligoma na wanaendelea kugoma kwasababu hawajakamilishiwa madai yao unategemea watafanya nini wakipeleka maelezo potofu serikalini itakuaje? hauoni kuwa watakuwa wamearibu mipango ya maendeleo ya nchi,ni vema kwasababu watawapa watu wengine shughuli ya kufanya waliokuwa mitaani tu...
Mkuu tatizo lipo wapi muulize kama nimemuomba chochote zaidi ya kumsaidia tu,umeleta tatizo lako umeshindwa saidiwa hapa au kila kitu lazima uandike uonekane upo MTZ
Muache kujipa majina hayo maana inaonyesha udhaifu wa kufikiria na kuamua wakati polisi hawapo hivyo bali wao wanapokea amri kwa wanao waongoza,umeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa kuuliza ilo swali.futa ilo jina
Tunapenda tu kupata habari je hizo taarifa unazozitaka utazifanyia kazi kweli?au ukasimulie bar na sehemu nyinginezo tu utazani ulikuwepo eneo la tukio haisadii hiyo!!jamani
Kama ni eneo lao waende wakashushe bendera ya Taifa wapandishe yao,si maneno tu,Uganda na Kenya mwaka jana walikuwa wanagombania kisiwa ziwa Victoria MIGINGO kukawa na bendera 2 hakukuwa na maneno ni vitendo wakaona hali inaelekea kubaya ndo wakakaa kuelewana sasa hawa kama wao watemi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.