Finally Huawei E303 unlocked

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Nimeitafuta sana Post yangu niliyoomba msaada namna ya Ku-unlock Huawei E303 lakini sikuiona.

Ila hatimae nimefanikiwa kui-unlock. Hii ni Vodacom E303 nimeweka Airtel firmware kisha nikai-unlock
halafu nika-update Dashboard.

Sasa nakula line zote na speed safiiii. Modem hii ina uwezo wa 7.2MB

UPDATES:

Naona PM zimekuwa nyingi ngoja niweke hapa kila mmoja
afaidi uhuru wa Kusurf kwa modem ya nini kujibanabana

Mkuu download kwanza FILE HILI (link ni yangu kwenye 4shared)

Jinsi ya kufanya kwa E303

1. Pata kwanza Unlock Code na Flash Code ya Modem yako E303 kwa kutumia IMEI yako hapa

2. Kisha Install software ya Modem yako kwa software iliyomo sasa hivi ndani ya modem kama bado hujainstall.

3. Update firmware yako kwa kuinstall Airtel Default Firmware (haiko locked ipo ndani ya rar. folder ulilodownload), hapa utahitaji kuingiza Flash Code

4. Baada ya hapo ingiza E303C ku-update dashboard yako kwenda new version

NB: usisahau ku-unlock baada tu ya ku-update firmware kwa sababu itajilock tena.

Dondosha THANKS au Like kama imekubamba

Tafadhali usifanye kwa biashara, its my upload
on 4shared

Kwa wale wenye Modem za Vodacom K3570-Z au K3571-Z tumia njia hii

Mkuu Jeff tumia dc-unlocker hii niliyokuwekea link hapa kuandika Dashboard hii hapa na uenjoy modem yako ya K3570-Z kwa line yoyote. Kazi kwako.

NB: Download kwanza New DC-Unlocker hapa kisha utaitumia kuidetect Modem yako ya K3570-Z ikishaonekana ifunde halafu ufungue DC-Unlocker nilikokupa link yangu ya 4shared.

Sharing is Caring

Kimox
the Instructor

Thanks!!
 
Nimeitafuta sana Post yangu niliyoomba msaada namna ya Ku-unlock Huawei E303 lakini sikuiona.
Ila hatimae nimefanikiwa kui-unlock. Hii ni Vodacom E303 nimeweka Airtel firmware kisha nikai-unlock
halafu nika-update Dashboard.
Sasa nakula line zote na speed safiiii. Modem hii ina uwezo wa 7.2MB
nielekeze na mimi mkuu..
Nina moderm
model:Huawei E173
imei:862910017728707
 
nielekeze na mimi mkuu..
Nina moderm
model:Huawei E173
imei:862910017728707

kama firmware yako sio customized unaweka unlock code tu. Ila kama iko customize itakubidi kuiFlash kwa firmware nyingie
 
Kwa inshu ya Modem E303c niliweka kwanza indian firmware, nikaitoa nikaweka Default Airtel Firmware, nikai-unlock kwa kutumia Huawei Code Writer, baada ya hapo nikaiupdate dashboard kwa version ya Mobile Partner v23 yenye 3 skin

mkuu kwa hii india firmware inaweza kutumika kwa mordem yoyote mana mimi nna hii mordem ya voda HSDPA USB stick
k3565 Rev 2 nimejaribu ku unlock kwa dc unloker imekataa na nimetumia code writer imekataa na nimejaribu ku update firmware na dashboard ya mobile patner bila mafanikio @Kimox Kimokole
 
Unatumia dc -****- version gan? They say dc unlocker hii ina unlock modem yako

dc-unlocker.2.client.1.00.0664.by.avinash.gaikwad.rar - 4shared.com - online file sharing and storage - download
 
mkuu kwa hii india firmware inaweza kutumika kwa mordem yoyote mana mimi nna hii mordem ya voda HSDPA USB stick
k3565 Rev 2 nimejaribu ku unlock kwa dc unloker imekataa na nimetumia code writer imekataa na nimejaribu ku update firmware na dashboard ya mobile patner bila mafanikio @Kimox Kimokole

Kwanza hiyo K3565 ni ZTE sio HUAWEI. Hivyo huwezi kutumia firmware hii.
Nimekujibu kwenye PM yako uliyonitumia na links Fatma
 
Wakuu naomba mwenye maujanja ya ku-unlock hizi modem mpya za vodacom huawei E303 amwage maujanja hapa, nawatakia kila la kheri wataalamu wangu.pamoja sana.
 
naombeni maujanja ya ku unlock E0682 ni ya airtel...yani iko slow mpaka natamani kuitupa
 
thanks man. it worked like a charm. tayari nimeshakugongea thanks. na pia haitoshi nakuongezea ya kishwahili. ahsante.
 
mkuu kwa hii india firmware inaweza kutumika kwa mordem yoyote mana mimi nna hii mordem ya voda HSDPA USB stick
k3565 Rev 2 nimejaribu ku unlock kwa dc unloker imekataa na nimetumia code writer imekataa na nimejaribu ku update firmware na dashboard ya mobile patner bila mafanikio @Kimox Kimokole
hii haunahaja ya ku-unlock download "join air" and install it halafu fungua na u-create connection ni simple.
 
i need yOUR HELP MKUU
AIRTEL E 173
IMEI862910017603785
plzz direct me how to config i have neva try
tafuta fundi simu. mwambie akuflashie ili aichakachue. ila asikutoze zaidi ya buku kumi.
 
Back
Top Bottom