Wilaya ya Rungwe Tukuyu mizengwe mitupu kweny kazi ya sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wilaya ya Rungwe Tukuyu mizengwe mitupu kweny kazi ya sensa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by lukme, Aug 5, 2012.

 1. l

  lukme Senior Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  polen na kazi. juzi wilaya ya Rungwe Tukuyu walibandika majina ya wasimamizi wa zoezi la sensa. baada ya siku 2 taarifa zikaja kuwa majina hayo yalikuwa batili kwa sababu waliwaweka walimu waliokuwa wamegoma eti wanahofia wataharibu kazi. je ni haki kuwatenga walimu kisa walikiwa wanadai haki yao?
   
 2. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,421
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  Wanaogopa wasije wakagomea zoezi zima la sensa acha wasiokuwa na ajira wanufaike japo kidogo jaman
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nimegundua, kuna mtu mmoja hapa Tz ndo ile kauli ya kufikiri kwa kutumia MASABURI inamhusu, ila hatajwi kw2 kuwa yeye ndo The Biggest Potato,
   
 4. b

  bob68 Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa we watu waligoma na wanaendelea kugoma kwasababu hawajakamilishiwa madai yao unategemea watafanya nini wakipeleka maelezo potofu serikalini itakuaje? hauoni kuwa watakuwa wamearibu mipango ya maendeleo ya nchi,ni vema kwasababu watawapa watu wengine shughuli ya kufanya waliokuwa mitaani tu wakati wana elimu ya utendaji pia!!
   
Loading...